Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
- Thread starter
- #21
Hhhhh basi wengi hawana kazi maana wengi wanapitia kufokewaUkiwa unafokewa ofisini hiyo sio kazi tafuata kazii.
Hhhhh basi wengi hawana kazi maana wengi wanapitia kufokewaUkiwa unafokewa ofisini hiyo sio kazi tafuata kazii.
Naomba connection huko kwa million 9Mmmh, inategemea unazungumzia ajira za, wapi, kama ni vituo vya kuuza mafuta,kwenye ma supermarket, vijana wale wa kuuza line za siku, freelancer , kwa muhindi, viwandsni kama urafiki, nk, salary chini ya 1.5M! Hapo sawa.
Lakini upo UN, umoja wa, Ulaya, BOT, Epiroc, vertive, master power, acha uta ni mazee, kufokewa, kitu gani, na unakunja kuanzia 9M +kwa mwezi!!!!
Kafokewa makamu wa, Rais na analipwa 60M+!! It's, part of life, wengine mbona wanafokewa na wake zao!!!!!
Meza wembeKwahiyo tufanye Nini?
Nishameza,Bado wewe kalimsumari.Meza wembe
Kanuni za Ajira na Mahusiano Kazini (Kanuni za Utendaji Bora) za mwaka 2007 zinasisitiza kuwa mwajiri ana wajibu wa kutengeneza sera na taratibu zinazohakikisha kuwa hakuna mfanyakazi anayefanyiwa vitendo vinavyovunja utu wake, ikiwa ni pamoja na kufokewa, kutukanwa, au kutishiwa.Hhhhh basi wengi hawana kazi maana wengi wanapitia kufokewa
We unafikiri hizo kanuni zinafwatwa , kuna watu wakipata nafasi za vyeo wanageuka miungu watuKanuni za Ajira na Mahusiano Kazini (Kanuni za Utendaji Bora) za mwaka 2007 zinasisitiza kuwa mwajiri ana wajibu wa kutengeneza sera na taratibu zinazohakikisha kuwa hakuna mfanyakazi anayefanyiwa vitendo vinavyovunja utu wake, ikiwa ni pamoja na kufokewa, kutukanwa, au kutishiwa.
Ikiwa unakabiliwa na hali kama hii kwa sasa, unaweza kuchukua hatua zifuatazo:
- Andika Kumbukumbu (Log): Rekodi tarehe, muda, na maneno hususa aliyosema msimamizi wako, pamoja na majina ya wafanyakazi wenzako walioshuhudia (mashahidi).
- Soma Mwongozo wa Kampuni (HR Manual): Angalia utaratibu wa ndani wa kuripoti malalamiko ya unyanyasaji (Grievance Procedure).
- Wasilisha Barua Rasmi ya Lalamiko: Lipeleke suala hili kwa maandishi kwenda Idara ya Rasilimali Watu (HR) au kwa meneja wa ngazi ya juu zaidi ya huyo anayekufokea ili kuwapa nafasi ya kulitatua kiutawala.
Hakuna sababu ya kukaa sehemu kama hiyo.We unafikiri hizo kanuni zinafwatwa , kuna watu wakipata nafasi za vyeo wanageuka miungu watu
Mjomba uje nikuunganishe kwenye kazi ya kulinda mageti ya halmashauri. Mwaka wa 30 huu maisha yanaendelea.Maisha ya kuajiriwa ni utumwa na mateso haswa kwa watu ambao wapo ngazi za kawaida kwenye maofisi full manyanyaso, poleni sana waajiriwa msijisahau sana na ajira wekeni mikakati ya kujinasua mjiajiri au kufungua vitega uchumi vyenu
Mjomba, wenzako tunapokea nusu hiki kipato chako na bado mtaani tunatembea tukiwa tumevimba na kutanua makwapa. Mshahara haujawahi kutosha. Hata Mbunge anayelipwa zaidi ya milioni 18 kwa Mwezi hulalamikia kutaka kuongezewa mshahara na posho.Asante kwa ushauri. Kiukwli hii Taasisi iliyoniajiri najiona nikifa njaa huku najiona...napata net pay ya 980k hiyo hiyo ndiyo nauliza Chakula, ada ya watoto, kupangisha vyumba viwili, maji,...na nipo Dar Maisha Magumu sana