Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Wapo ma boss ambao wanatabia za uonevu broUnakaripiwa usipotimiza wajibu master nje ya hapo ni GoodLife as usual
Pamoja sana kk mpango mzima ni kuwa na maisha ya uhuru , kuajiriwa ni utumwaYeah ujumbe mzuri.
Ukisoma vizuri nimeandika walioajiriwa ambao wapo ngazi za kawaidaMmmh, inategemea unazungumzia ajira za, wapi, kama ni vituo vya kuuza mafuta,kwenye ma supermarket, vijana wale wa kuuza line za siku, freelancer , kwa muhindi, viwandsni kama urafiki, nk, salary chini ya 1.5M! Hapo sawa,
Lakini upo UN, umoja wa, Ulaya, BOT,Epiroc,vertive, master power, acha uta ni mazee, kufokewa, kitu gani, na unakunja kuanzia 9M +kwa mwezi!!!!
Kafokewa makamu wa, Rais na analipwa 60M+!! It's, part of life, wengine mbona wanafokewa na wake zao!!!!!
Ndio uone utofauti wa mtu aliyejiajiri hakuna wa kumfokea yeye ndo boss wa maisha yakeKila ajira ina kanuni ni miongozo ukikiuka kufokewa lazima
π π πTuache tufokewe.......
Maisha ya kuajiriwa ni utumwa na mateso haswa kwa watu ambao wapo ngazi za kawaida kwenye maofisi full manyanyaso, poleni sana waajiriwa msijisahau sana na ajira wekeni mikakati ya kujinasua mjiajiri au kufungua vitega uchumi vyenu
Unaondoka unamuacha ofisini anakaripia viti hakuna mda wa kupeana pressure.Wapo ma boss ambao wanatabia za uonevu bro
Tunapeana akili na maarifa kwa watu wenye uwezo wa ku switch kuhamia kuajiajiri , maana kujiajiri pia its not for the weakAjira lazma ziwepo kwa baadhi ya watu kila mtu akiacha kazi utatibiwa na nani,benki,viwandani
Mungu akufanyie wepesi kk upate toboAsante kwa ushauri. Kiukwli hii Taasisi iliyoniajiri najiona nikifa njaa huku najiona...napata net pay ya 980k hiyo hiyo ndiyo nauliza Chakula, ada ya watoto, kupangisha vyumba viwili, maji,...na nipo Dar Maisha Magumu sana