Kama nchi tumefeli kwenye Ufunguzi wa African Football League

Watu mnachekesha sana Simba anahusikaje pale kwenye uo unauita mkataba ? Mashindano ni ya CAF na FIFA wao ndio waamuzi na wasimamizi ,ulitakiwa kusema sisi kama nchi ilipaswa tuzamini mashindano haya ili kutangaza utalii wetu ..
Nahisi sijui hukunisoma tangu mwanzoni yaani umekurupuka kujibu bila kujua mlengo wango..
Na kingine hapo kwenye comment yangu umeona mahali nimetaja Simba..

Mashindano hayo sio ya simba yako chini ya CAF na FIFA nilichosema ni kuhusu Mikataba baina ya CAF ,FIFA kuhusu Mecho kwamba kwanini mikataba isingekuwa na mashart nafuu ikiwemo kutangza utalii wa ndani na sio utalii wa nchi zingine..

Unakuja unaibuka unaongea Vitu visivyoelewa Sometimes mnahitaji Elimu tu...
Na sio majibu ya comments
 
Royo tua ilishatangaza nchi
 
Unapoint mzee,nilivyokuelewa nikwamba nchi imenufaikaje na ufunguzi. Inafikirisha sana kuzidiwa na Rwanda kujitangaza kiiutari.....Mpaka wamepenga Arsenal,kitu ambacho ni chema kabisa!
 
Hio haikua mechi ya maonyesho ya vipaji ilikua game ya ushindani ujuaji mwingi kila kitu mnajifanya mnajua
 
Sema SEVA za JF zinajazwa na Takataka tu. Kazi ni kipimo cha utu
 
“Simba kwa kushirikiana na serikali walitakiwa waingie makubaluano katika mashindano haya makubwa kwa ngazi ya vilabu Barani Africa, “

Ndugu daktari unatusema hatuna elimu hivi ni sisi au ni wewe ndie ambae huelewi ulichokiandika? Kwenye uzi wako unataka Simba na serikali wangeingia makubaliano na Caf na Fifa , tunakuelewesha Simba Hakua na mamlaka yoyote kwenye ile match na sponsorship ya michuano hii kilichotakiwa ni Serikali Kudhamini michuano hii na yenyewe kuwa na haki za matangazo na sio kutumia privilege ya sisi kuchaguliwa kufungua kufanya hayo unayoyataka ..you don’t know everything
 
Kama kuna sehemu nimeandika hivyo ulivyosema Hebu nionyeshe huo uzi...
Kma nimeandika hivyo bhasi itakuwa ndo mara ya kwanza kuaga Jamiiforum baada ya kuingia humu kwa miaka takribani 13 na ushee...
Nitaaga kwa heshima
 
Kama kuna sehemu nimeandika hivyo ulivyosema Hebu nionyeshe huo uzi...
Kma nimeandika hivyo bhasi itakuwa ndo mara ya kwanza kuaga Jamiiforum baada ya kuingia humu kwa miaka takribani 13 na ushee...
Nitaaga kwa heshima
Hapo mahali nimequote nimekuwekea na fungua semi na funga semi au huyo si wewe?
 

Mbona Visit Rwanda ipo hadi Uingereza.
 

Tatizo umejaza assumptions zako halafu unalazimisha ziwe kweli. Yale mashindano yapo Chini ya CAF na FIFA. Wao walikubali ufunguzi ufanyikie Tanzania, ila mambo ya udhamini wanayasimamia wao. Sasa Visit Tanzania ya kwetu Simba ya kwetu haipewi hata shilingi mia. Matangazo yalifanyika kwa tender na mwenye pesa ndefu ndio akashinda.
 
Kwa hyo Rwanda na saudia wamewezaje kuwa wadhamini wakuu kwa mantiki hyo.
Walishinda tender.
CAF ili kuandaa mashindano huhitaji wadhamini, na wadhamini huomba au kuombwa kufanya hivyo kwa sharti la kutoa mpunga mrefu. Sasa Rwanda na Saud Arabia wamekuwa shapu sana kuchangamkia hizo fursa kimataifa.
 
Elewa mada kwanza usikurupuke elewa point yangu halafu urudi tena kuchangia naona unaongea kishabiki na hilo ndio tatizo la watanzania weka ushabiki pembeni kwanza
 
Walishinda tender.
CAF ili kuandaa mashindano huhitaji wadhamini, na wadhamini huomba au kuombwa kufanya hivyo kwa sharti la kutoa mpunga mrefu. Sasa Rwanda na Saud Arabia wamekuwa shapu sana kuchangamkia hizo fursa kimataifa.
Mkuu jaribu kusoma bila ushabiki utanielewa zaidi ya watu kuomba picha kwa wenger na infantino kuna kitu tulitakiwa tufanye kama nchi inashangaza kuona kila mtu anapost picha akiwa na wawakilishi wa FIFA that's was nonsense.
 
Kumbuka mechi na mashindano sio ya Simba wala ya Tanzania, ni ya CAF na FIFA. Huwezi kukurupuka kujipangia eti Yanga Princess wacheze na Simba Queens wakati na wewe ni mwalikwa tu. Ni sawa na kupewa lift halafu ukaanza kutoa maelekezo kuwa tumpitie na Ashura hapo Buza
 
kaka ungefanya homework kujua kuhusiana na hayo mashindano.. yaani unataka Simba na TFF wapange ratiba kwenye mashindano ambayo hayawahusu.. hapo kila kitu kimesimamiwa na CAF Simba ni mshiriki tu.. ni kama vile Kombe la dunia au AFrika.. nchi inapewa maandalizi tu ya viwanja lakini taratibu zote za match za ndani ya uwanja kuanzia marefa na hadi nini kifanyike uwanjan msimamizi ni mamlaka ya soka CAF au FIFA.. so ile sio Simba day eti team ya vijana SImba wacheze.. simba hana mamlaka yoyote pale..
 
Tanzania tuna Kansa ya waamuzi wabovu, amekuja mtu mkubwa kabisa kwenye tasnia ya uamuzi Duniani, cha ajabu TFF wameshindwa kukaa naye kuona namna gani anaweza kusaidia Tanzania tukazalisha waamuzi Bora.
 
Unatangazwa bila kuweka HELA?

HELA unazo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…