Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Na kuna unafiki sana. Yaani wao wanakazania tu kwamba wanawake wanataka wenyewe!!Sasa unakua ni UNAFIKI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kuna unafiki sana. Yaani wao wanakazania tu kwamba wanawake wanataka wenyewe!!Sasa unakua ni UNAFIKI
Kwanini wasijikague na kubaini hapo Bungeni ni wangapi wezi wa fedha za umma wa Watanzania?Wanaume wote waende hospitali kukaguliwa
Kweli kabisa,maana unakuta mtu anausema ushogaUshoga ni upumbavu, na mambo ya kipuuzi namna hiyo hayatakiwi kupewa muda mrefu wa kujadili, ni kudhibiti kwa vitendo tu.
Sheria na bakora zitumike kwa kuwa ni kinyume na maadili ya kijamii na kidini.
Fimbo ni halali kwa mgongo wa mpumbavu, siyo maneno mengi.
Bora mniueLengo la adhabu ndiyo la kujadili. Jambazi ni miaka 30 na mlawiti naye miaka 30. Jee athari ya makosa inafanana??
Ndio, Sheria inasema akipatikana na hatia, lakini haimaanishi wafunge macamera majumbani.Lakini si sheria inasema akipatikana na hatia?
Unataka waweke camera kila nyumba wapate ushahidi wa kuwatia hatiani?
Procedurally, hata mtu akikamatwa 'in the act', hakuna mahali popote ambapo Sheria inasema atiwe hatiani hapohapo. Lazima kesi ipelekwe mahakamani na mtuhumiwa asikilizwe. "It is wrong to condemn a man without giving him a hearing".Mkuu, ushahidi si huo tu. Wengine hukamatwa 'in the act'. Halafu, kukutwa na hatia ni pale ambapo mashtaka yake yatapelekwa mahakamani na kuthibitishwa na upande wa mashtaka. Itakatyofuata hapo ni adhabu tu kwa mujibu wa sheria.
Wakili msomi, sheria inasemaje kuhusu matendo ya usagaji!? Kuna kifungu cha kanuni za adhabu chenye kuainisha kosa la wanawake kuwa katika mahusiano?Nimechukua muda wa kutosha kuisoma Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Sura Na. 16 iyofanyiwa mapitio mwaka 2019) na kujiridhisha pasi na shaka kuwa, kama nchi-Tanzania, ushoga umekatazwa na kuadhibiwa vikali kwenye sheria hiyo. Ni vifungu vya 154 na 155 vya Kanuni ya Adhabu.
Wahusika wote wa ushoga (anayeingilia na yule anayeingiliwa) wote wamewekewa adhabu zao pale ambapo mashtaka yao yatathibitishwa mahakamani.
Kama hiyo haitoshi, hata kujaribu kutenda ushoga/kuingilia kinyume na maumbile ni kosa chini ya Kanuni ya Adhabu. Ndiyo kusema kufanya ushoga au kujaribu kufanya ushoga kote kunahesabika kosa chini ya Kanuni ya Adhabu.
Kwakuwa sheria, inayobeba kauli na msimamo thabiti ya nchi yetu juu ya masuala ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile, kinachobakia ni mamlaka husika kuendelea kuisimamia sheria hiyo na kutokomeza tatizo hili. Ni utashi tu wa kimamlaka ndio uliobakia katika kuishinda vita hii.
Tuache porojo na tusimamie sheria. Wapo wanaojihusisha na mapenzi kinyume na maumbile wanaojulikana na wale wasiojulikana lakini wanaoweza kujulikana. Waanikwe; wakamatwe; washtakiwe na kuadhibiwa kadiri ya matakwa na taratibu za kisheria. Nchi imesema kupitia sheria, nchi iendelee kutekeleza kupitia sheria!
Vifungu husika ni hivi:
154.-(1) Mtu yeyote ambaye-
(a) anamuingilia mtu yeyote kinyume cha maumbile au,
(b) anamuingilia mnyama kimwili au
(c) anamruhusu mwanaume kumuingilia yeye mwanaume au mwanamke kinyume cha maumbile, atakuwa ametenda kosa, na atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha maisha na wakati mwingine kifungo kisichopungua miaka thelathini .
(2) Ikiwa kosa limetendwa chini ya kifungu kidogo cha (1) cha kifungu hiki dhidi ya mtoto wa chini ya miaka kumi, mkosaji atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha maisha.
155. Mtu yeyote ambaye atajaribu kutenda kosa mojawapo katika makosa yaliyotajwa katika kifungu cha 154 atakuwa ametenda kosa na akipatikana na hatia atawajibika kwa adhabu ya kifungo kisichopungua miaka ishirini .
Procedurally, hata mtu akikamatwa 'in the act', hakuna mahali popote ambapo Sheria inasema atiwe hatiani hapohapo. Lazima kesi ipelekwe mahakamani na mtuhumiwa asikilizwe. "It is wrong to condemn a man without giving him a hearing".
Kwa mfano mimi ni hakimu, halafu nikashuhudia waziwazi wewe Petro unamjeruhi mtu, kesi hiyo ikiletwa Mahakamani kwangu sitakiwa kukutia hatiani eti kwasababu nilishuhudia KITENDO (ACTUS REUS), lazima nikusikilize nijiridhishe na DHAMIRA (MENS REA).
Petro, I guess you are an advocate, au nakosea? You must know these things.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, bado sijabahatika kuona na kupata kifungu kinachokataza usagaji. Nitaendelea kutafiti MkuuWakili msomi, sheria inasemaje kuhusu matendo ya usagaji!? Kuna kifungu cha kanuni za adhabu chenye kuainisha kosa la wanawake kuwa katika mahusiano?
Vipi sheria hii inasemaje kuhusu jamii zilizobakia za LGBTIQA ukiondoa adhabu za matendo ya ushoga na yenye kujihusisha na kuwaingilia wanyama?
Papa kwenye nchi ya Tanzania ana mamlaka gani??Unaenda kinyume na Papa