Kama nchi, ushoga tumeukataza na kuuadhibu kisheria. Kilichobaki ni utashi wa kuisimamia sheria husika, tuache porojo!

TANZANIA VITA YA USHOGA NI YA KINAFKI SANA
MASHOGA MNAISHI NAO MITAANI,KWENYE MASHUGULI YENU
MNAWAKARIBISHA NA MNASEREBUKA WOTE .....
KWENYE MEDIA HUKO WAMEJAA TELE,KWENYE SANAAA HUKO WAMEJAAA TELEEEEE
KILA KONA WAPO

USHAHID TU,VIGODORO VYENU MITAANI HUKO MNAVYOFANYAGA MBONA MASHOGA MNAWAALIKA
NA WAKIJA MNAJIRUSHA WOTE

ova
 
Ushoga ni upumbavu, na mambo ya kipuuzi namna hiyo hayatakiwi kupewa muda mrefu wa kujadili, ni kudhibiti kwa vitendo tu.
Sheria na bakora zitumike kwa kuwa ni kinyume na maadili ya kijamii na kidini.
Fimbo ni halali kwa mgongo wa mpumbavu, siyo maneno mengi.
 
Kweli kabisa,maana unakuta mtu anausema ushoga
Huku mwenyewe anaishi nao na wanashirikiana kwenye shuguli na matukio kadhaa wa kadhaa

Ova
 
Lakini si sheria inasema akipatikana na hatia?

Unataka waweke camera kila nyumba wapate ushahidi wa kuwatia hatiani?
Ndio, Sheria inasema akipatikana na hatia, lakini haimaanishi wafunge macamera majumbani.

Kwa nilivoelewa, concern ya mtoa mada ni kwamba utashi wa Kisheria utumike sawasawa.

Labda nikupe chakula cha ubongo kidogo, ili mtu atiwe hatiani kwa kosa lolote la jinai achilia mbali ushoga, ni lazima Hakimu/Jaji ajiridhishe na mambo mawili, jambo la kwanza ni ACTUS REUS(kitendo) na jambo la pili ni MENS REA(dhamira). Kitendo tu hakitoshi, lazima dhamira ya mtendaji/mtendwaji (kwa kesi ya ushoga) ibainishwe. Mtu aliyeingiliwa kwa kushinikizwa kwa mtutu wa bunduki hatakiwi kutiwa hatiani, atakayetiwa hatiani ni mtendaji aliyeshinikiza.

Aidha, kiwango cha uthibitisho kinachotakiwa kumtia mtu hatiani kwenye makosa ya jinai ni lazima kiwe 'beyond reasonable doubts' (bila kuacha shaka yoyote), yaani upande wa mashtaka (Jamhuri) ithibitishe bila kuacha shaka yoyote kwamba mtuhumiwa alitenda kosa hilo, isipokuwa kwenye kesi za 'doctrine of recent possession' au kwa lugha nyingine hizi ni kesi za kukutwa na mali inayosadikiwa ni ya wizi ambapo aliyekutwa na mali hiyo ndiyo anatakiwa kuthibitisha kwamba, either mali hiyo siyo ya wizi, au kama ni ya wizi na aliuziwa bila kujua ni ya wizi, basi athibitishe kwamba hakujua kuwa mali hiyo ni ya wizi, ambapo atathibitisha kwa kiasi tu na siyo 'bila kuacha shaka yoyote', yaani anaruhusiwa kuacha mashaka, mtuhumiwa ata-enjoy the so called 'benefit of doubt', kesi nyingine ni za uraia.

Sasa anachosema mtoa mada ni kwamba utashi (matakwa) ya Kisheria yazingatiwe (yasipuuzwe); asifungwe mtu kwa kuonewa au asiachiliwe huru kwa kuogopwa au kisiasa. The law has to be applied as it is.

Mfano ni case ya Amber Ruty, sijui hadi leo iliishia wapi! Sasa kesi zikienda mahakamani halafu zikiisha kihuni hakutakuwa na faida ya kutunga Sheria au kuziboresha ili kupingana na maswala haya.

I humbly submit.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakamatwe wafiraji wanao waingilia wanamke na wanaume .. hao ni dugu moja kama unaweza mfira mwanamke kumfira mwanaume ni kunusa tu
 
Mkuu, ushahidi si huo tu. Wengine hukamatwa 'in the act'. Halafu, kukutwa na hatia ni pale ambapo mashtaka yake yatapelekwa mahakamani na kuthibitishwa na upande wa mashtaka. Itakatyofuata hapo ni adhabu tu kwa mujibu wa sheria.
Procedurally, hata mtu akikamatwa 'in the act', hakuna mahali popote ambapo Sheria inasema atiwe hatiani hapohapo. Lazima kesi ipelekwe mahakamani na mtuhumiwa asikilizwe. "It is wrong to condemn a man without giving him a hearing".

Kwa mfano mimi ni hakimu, halafu nikashuhudia waziwazi wewe Petro unamjeruhi mtu, kesi hiyo ikiletwa Mahakamani kwangu sitakiwa kukutia hatiani eti kwasababu nilishuhudia KITENDO (ACTUS REUS), lazima nikusikilize nijiridhishe na DHAMIRA (MENS REA).

Petro, I guess you are an advocate, au nakosea? You must know these things.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakili msomi, sheria inasemaje kuhusu matendo ya usagaji!? Kuna kifungu cha kanuni za adhabu chenye kuainisha kosa la wanawake kuwa katika mahusiano?

Vipi sheria hii inasemaje kuhusu jamii zilizobakia za LGBTIQA ukiondoa adhabu za matendo ya ushoga na yenye kujihusisha na kuwaingilia wanyama?
 


Kila siku ya mungu tunasoma watoto wadogo kulawitiwa (kulawiti maana yake ni kumuingilia kinyume na maumbile excuse my language au kumuingilia kwenye mkund.u).

Hayo mambo yanatokea ndani ya nyumba sehemu ambayo mtoto anatakiwa kuwa salama na hana pa kukimbilia kama abuse inafanyika huko.



Research zinaonyesha ni asilimia chache sana za home abuse ndio zinabaonika, na hapa nazungumzia nchi zilizoendelea ambazo walimu, nurses, care workers, social services na watu wengine wanaokutana na watoto wapo well trained in reading the body language kubaini abuse ata bila ya kuripotiwa na kuanza uchunguzi kwa lazima wenyewe ili kumlinda mtoto.



Sasa kama hao watoto wanao lala ndani serikali imeshindwa kuwalinda kila siku tunasoma habari za kulawitia, je hawa wa mtaani umeshaona wanapolala; usiku kucha hivi vitoto vinafiran.a huo ndio ukweli wenyewe na kutengeneza mashoga wa baadae, majambazi na kila ya baladhuri na unapita na VX lako unaona hayo wala uguswi kupambana kuokoa hawa watoto.

Halafu unajifanya unaumia sana na matako ya watu wazima. Kuna siku niliona video kwenye insta page ya limutuz sijui ndio sherehe au kuna kama mduara wa mashoga wote ni watoto wadogo between 16-20 years; wale ukipekuwa wameharibiwa majumbani kwao au walikuwa watoto wa mtaani. Ambao serikali ilishindwa kuwalinda.

Halafu leo wanajifanya wanapambana na ushoga as if hao watu wametokea tu; mamayo zao viongozi wote wanaojifanya wanakwera wakati vita halisi huko chini na utotoni kama awaioni.

Can you imagine situation ya mtoto ndani ya nyumba ambayo baba, mjomba au babu; ambae anatakiwa kuwa mlezi wake usiku anaenda kukafir.a hako katoto na tunasoma kila siku haya mambo bunge wala viongozi hawajahi tenga huo muda wa kuliongelea hili.

Waafrika ngozi ya mkund.u kwa mujibu wa mzungu.
 
I agree with you Mkuu. That is why I tried to explain what does 'kukutwa na hatia' mean..
 
Mkuu, bado sijabahatika kuona na kupata kifungu kinachokataza usagaji. Nitaendelea kutafiti Mkuu
 
Shoga ana HAKI zake kama Mwananchi wa Jamhuri hii ya Wapigaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…