Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 685
- 2,355
Emmanuel John Nchimbi amejiuzulu Umakamu wa Rais.
Kamati Kuu ya CCM ikaamua kumvua uanachama kutokana na kile walichodai ni makosa aliyoyafanya.
Sasa nimewaza, kama Nchimbi kwa nafasi yake ya Umakamu ameshambuliwa hadharani kwa kuitwa yuda na hadi kuvuliwa uanachama licha ya kujiuzulu, hali ipoje kwa akina polepole, mdude na wengineo waliotekwa kwa kipindi kirefu sasa?
Sidhani kama wapo hai, mwenyezi mungu awatie nguvu huko walipo.