Kama Nchimbi kwa nafasi yake anafanyiwa hivyo, nahisi kabisa Polepole na wenzake waliotekwa hawapo duniani tena

Kama Nchimbi kwa nafasi yake anafanyiwa hivyo, nahisi kabisa Polepole na wenzake waliotekwa hawapo duniani tena

Mnaosema Nchimbi atakamatwa na kufikishwa mahakamani kwa uhaini/uchochezi hamuoni kuwa hiyo itakuwa ni kesi ya kisiasa sawa na ya Lissu? Kwa mtindo huu wengi watakamatwa na kuwekwa jela maana itakuwa ni mlolongo katiba kudaiwa ni infinity justice, ndio maana tunasema Lissu aachiwe tu kwani wanaoitaka katiba ni wengi kuwafunga wote ni ngumu
 
Kumbuka Polepole alikuaga anamtaja sana Nchimbi kama mwana mtandao na alikua anamuhasa sana Samia kuwaepuka wanamtandao. Hii haiwezi kua hiyo hatua kutoka kwa Samia?
Samia nae mwana mtandao. Umesahau ya lowasa aliekua mmoja wa waasisi wa mtandao na hadithi yake ilipoishia. Wahuni hao kupandishiana kete kwa mbele ni michezo yao pendwa
 
Emmanuel John Nchimbi amejiuzulu Umakamu wa Rais.

Kamati Kuu ya CCM ikaamua kumvua uanachama kutokana na kile walichodai ni makosa aliyoyafanya.

Sasa nimewaza, kama Nchimbi kwa nafasi yake ya Umakamu ameshambuliwa hadharani kwa kuitwa yuda na hadi kuvuliwa uanachama licha ya kujiuzulu, hali ipoje kwa akina polepole, mdude na wengineo waliotekwa kwa kipindi kirefu sasa?

Sidhani kama wapo hai, mwenyezi mungu awatie nguvu huko walipo.
Mpo dunia gani jamani? Yaani kwa kile kilichotokea 29/10, watu kuwindwa na kuuawa ili mitaa ijaye maiti bado tu ulikuwa unadhani wako hai? Polepole mbona African confidential walisema alifariki mara tu alipokamatwa?
 
Wewe ni taka taka ndio maana halisi ya wasted sperms
Ahahahahaha! Mimi ni Mtanzania ninayejitambua. Wazazi walinipeleka shule nikafundishika na sasa naendesha maisha bila kumlaumu yeyote!

Wajinga kama ninyi ndio mnatafuta pa kuangukia baada ya kushindwa kujipanga kama akina Maria Sarungi! Ahahahahaha!!!
 
Back
Top Bottom