Kama Nchimbi kwa nafasi yake anafanyiwa hivyo, nahisi kabisa Polepole na wenzake waliotekwa hawapo duniani tena

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
685
Reaction score
2,355
Emmanuel John Nchimbi amejiuzulu Umakamu wa Rais.

Kamati Kuu ya CCM ikaamua kumvua uanachama kutokana na kile walichodai ni makosa aliyoyafanya.

Sasa nimewaza, kama Nchimbi kwa nafasi yake ya Umakamu ameshambuliwa hadharani kwa kuitwa yuda na hadi kuvuliwa uanachama licha ya kujiuzulu, hali ipoje kwa akina polepole, mdude na wengineo waliotekwa kwa kipindi kirefu sasa?

Sidhani kama wapo hai, mwenyezi mungu awatie nguvu huko walipo.
 
Ukweli mchungu Kwa kweli, 70% chances kuwa wamekwishauawa.

Tumefikwa mahali ambapo Bora mkoloni wa kijerumani kuliko hawa bokoharam
 
Kwa hiyo wewe bado una imani kuwa wapo hai!haya yana mwisho kuna siku atashika madaraka kichaa atawavua kinga zote na kuning'inizwa kotini.muda utasema tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…