Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
yaani......... sijui tuseme tumwombe Mungu atunusuru!!!!!! atatunusuruje na wadada wanaoneana wivu kuhongwa ma-landcruizer na majumba ya kifahali? as if sisi hatuna vichwa na mikono kufanya kazi tujinunulie wenyeweAisee lile tangazo ni ukweli mtupu!!
na zawadi je huna unakataa? unafikiri ananunulia na hela gani? ha haaaaaaaaaaaaaaWewe na nani? Maana mimi sijawahi kuhongwa na mwanamke na sipendi kabisa kuhongwa na mwanamke kwa sababu nina pesa zangu mimi mwenyewe na sina njaa ya pesa hata kidogo.
mwisho wa siku kazi ya vijana ndo inawafanya vidada vitumie hizo pesa za wazee pamoja na vijana.Wanasema Wazee kazi ndogo malipo makubwa,wakati vijana kazi kubwa malipo madogo,naamini nimesomeka!
yaani......... sijui tuseme tumwombe Mungu atunusuru!!!!!! atatunusuruje na wadada wanaoneana wivu kuhongwa ma-landcruizer na majumba ya kifahali? as if sisi hatuna vichwa na mikono kufanya kazi tujinunulie wenyewe
na zawadi je huna unakataa? unafikiri ananunulia na hela gani? ha haaaaaaaaaaaaaa
Unawasemeaje wanaume wanaojisifia wanahongwa hata kwenye huu uzi?Mwanaume ataendelea kuwa mwanaume na mwanamke ataendelea kuwa mwanamke, ndio maana mambo hayendi kwa ajili ya kujitutumua. Mwacheni Mungu iitwe Mungu.
siyo in exchange for sex, zawadi tu......... kama birthday gift au vyovyote vile, tena hiyo siku wala hamkutani kwa ajili hiyoZawadi in exchange for sex? No way jose! Sijawahi pewa zawadi kwa mtindo huo. Na kwa kawaida hata zawadi huwa sipendi kupokea.
I'm self-made and independent.
siyo in exchange for sex, zawadi tu......... kama birthday gift au vyovyote vile, tena hiyo siku wala hamkutani kwa ajili hiyo
Unawasemeaje wanaume wanaojisifia wanahongwa hata kwenye huu uzi?
kama inakubalika mwanamke kuhonga kwa kutumia pesa anazopata kwa "buzi" anashindwa nini kuhonga hela anazofanyia kazi?
Definitely...what it do Nyani NgabuTell 'em.
To me they are just modern day courtesans.
Definitely...what it do Nyani Ngabu
I am sorry to say this "kutegemea kuhongwa ni ujinga", hakuna cha girl's power wala nini. kama una power kwa nini usifurukute kidogo ili uweze kujitafutia chako? si ku hizi kuna nafasi kibao za kuwainua wanawake, yaani ukijitahidi kidogo tu unainuliwa. kwa nini usubiri kuhongwa? tena na babu ambaye ana msululu wa wakuwahonga? na ambaye unajua kesho tu akipata mwingine aliyemtamani kama wewe probability ya kukumwaga ni kubwa?Mwanaume anayehongwa nae huyo si mwanaume period. Anayehongwa ni mwanamke na unapohongwa lazima uwe na akili zako timamu kwamba sio kila unapohongwa lazima utoe. Unatoa unapopendezwa na hongo au kama ni wajibu kutoa. Use your girl power ladies, you will always be women.
I am sorry to say this "kutegemea kuhongwa ni ujinga", hakuna cha girl's power wala nini. kama una power kwa nini usifurukute kidogo ili uweze kujitafutia chako? si ku hizi kuna nafasi kibao za kuwainua wanawake, yaani ukijitahidi kidogo tu unainuliwa. kwa nini usubiri kuhongwa? tena na babu ambaye ana msululu wa wakuwahonga? na ambaye unajua kesho tu akipata mwingine aliyemtamani kama wewe probability ya kukumwaga ni kubwa?
Men i'm cool but this world is unbelievable or i'd say people are, i guess you know what i meanHahahaaa niaje hommie...?
Mzima kabisa weye? I mean, is everything cool?
Men i'm cool but this world is unbelievable or i'd say people are, i guess you know what i mean
That is some serious shit, now i wonder when these species come here crying all over yet they are just fake even more than a Chinese productHahahaa I know exactly what you mean. Ntakutafuta.
No, hilo neno ni lenyewe kabisa, wala halina tatizo lolote. kwenye himaya yes. sijasema sitaki mume wangu anihonge, ila nasema kwa wale wadada/wakaka ambao hawataki kufanya chochote wakitegemea wababu waje wawahonge, yaani as if akili yako imefungwa huwezi kujitegemea kwa lolote.Mnafurukuta sana ndo maana dharau haiishi.
Kwa taarifa yako mwanaume lazim aonyeshe uanaume wake wa kuihudumia na kuilinda himaya yake. Endelea kujitutumua atazichota zako akahonge wanaohongeka (any way labda neno kuhonga linaleta maana tofauti ina namaanisha wale wanaoweza, taka na kukubali kuhudumiwa)
No, hilo neno ni lenyewe kabisa, wala halina tatizo lolote. kwenye himaya yes. sijasema sitaki mume wangu anihonge, ila nasema kwa wale wadada/wakaka ambao hawataki kufanya chochote wakitegemea wababu waje wawahonge, yaani as if akili yako imefungwa huwezi kujitegemea kwa lolote.
Mimi kwangu nafanya kazi, napokea mshahara wangu na mume wangu ananihonga, hiyo sawa kabisa. sasa kwa wale ambao maisha yao 100% wanategemea kuhongwa, inakuwaje siku muhongaji hapatikani?