Kama ndio hivi...wacha wapendwe tu.

Kama ndio hivi...wacha wapendwe tu.

Aisee lile tangazo ni ukweli mtupu!!
yaani......... sijui tuseme tumwombe Mungu atunusuru!!!!!! atatunusuruje na wadada wanaoneana wivu kuhongwa ma-landcruizer na majumba ya kifahali? as if sisi hatuna vichwa na mikono kufanya kazi tujinunulie wenyewe
 
Wewe na nani? Maana mimi sijawahi kuhongwa na mwanamke na sipendi kabisa kuhongwa na mwanamke kwa sababu nina pesa zangu mimi mwenyewe na sina njaa ya pesa hata kidogo.
na zawadi je huna unakataa? unafikiri ananunulia na hela gani? ha haaaaaaaaaaaaaa
 
yaani......... sijui tuseme tumwombe Mungu atunusuru!!!!!! atatunusuruje na wadada wanaoneana wivu kuhongwa ma-landcruizer na majumba ya kifahali? as if sisi hatuna vichwa na mikono kufanya kazi tujinunulie wenyewe

Mwanaume ataendelea kuwa mwanaume na mwanamke ataendelea kuwa mwanamke, ndio maana mambo hayendi kwa ajili ya kujitutumua. Mwacheni Mungu iitwe Mungu.
 
na zawadi je huna unakataa? unafikiri ananunulia na hela gani? ha haaaaaaaaaaaaaa

Zawadi in exchange for sex? No way jose! Sijawahi pewa zawadi kwa mtindo huo. Na kwa kawaida hata zawadi huwa sipendi kupokea.

I'm self-made and independent.
 
Mwanaume ataendelea kuwa mwanaume na mwanamke ataendelea kuwa mwanamke, ndio maana mambo hayendi kwa ajili ya kujitutumua. Mwacheni Mungu iitwe Mungu.
Unawasemeaje wanaume wanaojisifia wanahongwa hata kwenye huu uzi?
kama inakubalika mwanamke kuhonga kwa kutumia pesa anazopata kwa "buzi" anashindwa nini kuhonga hela anazofanyia kazi?
 
Zawadi in exchange for sex? No way jose! Sijawahi pewa zawadi kwa mtindo huo. Na kwa kawaida hata zawadi huwa sipendi kupokea.

I'm self-made and independent.
siyo in exchange for sex, zawadi tu......... kama birthday gift au vyovyote vile, tena hiyo siku wala hamkutani kwa ajili hiyo
 
Kama ni zawadi tu ya kawaida ambayo si kigezo wala sharti la uhusiano, hiyo ni rukhsa.

Nachokataa mimi ni huo upumbavu wa kutegemea mwanaume au mwanamke akuhonge in exchange for sex as if kama wewe huna uwezo wa kujitafutia pesa zako mwenyewe na kujitosheleza.
 
Unawasemeaje wanaume wanaojisifia wanahongwa hata kwenye huu uzi?
kama inakubalika mwanamke kuhonga kwa kutumia pesa anazopata kwa "buzi" anashindwa nini kuhonga hela anazofanyia kazi?

Mwanaume anayehongwa nae huyo si mwanaume period. Anayehongwa ni mwanamke na unapohongwa lazima uwe na akili zako timamu kwamba sio kila unapohongwa lazima utoe. Unatoa unapopendezwa na hongo au kama ni wajibu kutoa. Use your girl power ladies, you will always be women.

Last edited by a moderator:

I am sorry to say this "kutegemea kuhongwa ni ujinga", hakuna cha girl's power wala nini. kama una power kwa nini usifurukute kidogo ili uweze kujitafutia chako? si ku hizi kuna nafasi kibao za kuwainua wanawake, yaani ukijitahidi kidogo tu unainuliwa. kwa nini usubiri kuhongwa? tena na babu ambaye ana msululu wa wakuwahonga? na ambaye unajua kesho tu akipata mwingine aliyemtamani kama wewe probability ya kukumwaga ni kubwa?
 
Mnafurukuta sana ndo maana dharau haiishi.

Kwa taarifa yako mwanaume lazim aonyeshe uanaume wake wa kuihudumia na kuilinda himaya yake. Endelea kujitutumua atazichota zako akahonge wanaohongeka (any way labda neno kuhonga linaleta maana tofauti ina namaanisha wale wanaoweza, taka na kukubali kuhudumiwa)
 
vijana tuna maisha ya kuunga,future ina ukungu,hatueleweki,hakuna tunachopanga kikatimia so acha wapate faraja za mioyo bwana
 
Mnafurukuta sana ndo maana dharau haiishi.

Kwa taarifa yako mwanaume lazim aonyeshe uanaume wake wa kuihudumia na kuilinda himaya yake. Endelea kujitutumua atazichota zako akahonge wanaohongeka (any way labda neno kuhonga linaleta maana tofauti ina namaanisha wale wanaoweza, taka na kukubali kuhudumiwa)
No, hilo neno ni lenyewe kabisa, wala halina tatizo lolote. kwenye himaya yes. sijasema sitaki mume wangu anihonge, ila nasema kwa wale wadada/wakaka ambao hawataki kufanya chochote wakitegemea wababu waje wawahonge, yaani as if akili yako imefungwa huwezi kujitegemea kwa lolote.
Mimi kwangu nafanya kazi, napokea mshahara wangu na mume wangu ananihonga, hiyo sawa kabisa. sasa kwa wale ambao maisha yao 100% wanategemea kuhongwa, inakuwaje siku muhongaji hapatikani?
 
Kwenye bold nyeusi tupo pamoja sana.

Kwenye bold red hao wengine tuwaache miaka 2000, watajiju.
 
He he he he, acha watu wale maini
Mizao ya mizabibu lol
 
Back
Top Bottom