Kama ndio inakutokea, utachukua hatua gani?

Kama ndio inakutokea, utachukua hatua gani?

Upo kwenye daladala kuna sehemu labda unaelekea katika mihangaiko yako ya kila siku, unapofika sehemu husika unashuka na kuanza kutembea, katikati ya safari yako ukiwa huna hili wala lile unashtuliwa na kofi moja zito la uso linalokupelekea kufumba macho, kabla huja kaa sawa inakuja ngumi ya uso halafu unasikia sauti ya anaekupiga ikisema "NILIKWAMBIA IPO SIKU NITAKUKAMATA TU" Ile kuinua sura unakutana na sura usiyoifaham kabisaaa! Halafu na yeye anashtuka baada ya kukuona kisha anakwambia "SAMAHANI NIMEKUFANANISHA" Je, ni uamuzi gani utauchukua???

Nita mipiga zaidi ya alivonipiga
 
Mi ntamfanyia revenge ya kumpgia kelele za mwizi,watu waje wamzibue mpaka akili imkae sawa!
 
Upo kwenye daladala kuna
sehemu labda unaelekea katika
mihangaiko yako ya kila siku,
unapofika sehemu husika
unashuka na kuanza kutembea,
katikati ya safari yako ukiwa
huna hili wala lile unashtuliwa
na kofi moja zito la uso
linalokupelekea kufumba macho,
kabla huja kaa sawa inakuja
ngumi ya uso halafu unasikia
sauti ya anaekupiga ikisema
"NILIKWAMBIA IPO SIKU
NITAKUKAMATA TU" Ile kuinua
sura unakutana na sura
usiyoifahamu kabisaaa! Halafu
na yeye anashtuka baada ya
kukuona kisha anakwambia
"SAMAHANI NIMEKUFANANISHA
" Je, ni uamuzi gani
utauchukua???
 
Hii ni sawa na kuchokoza nyuki kwenye mzinga kitakachofuatia sijui.
 
siamesha omba radhi bwana,msamaha unachukua nafasi yake.
 
Nimesikia tetesi kwamba azam walifanya mpango kuiua mbeya city hivi ni kweli jamani?
 
Upo sehemu unatembea kwa miguu,
katikati ya safari yako ukiwa huna hili
wala lile unashtuliwa na kofi moja zito
la uso linalokupelekea kufumba macho,
kabla huja kaa sawa inakuja ngumi ya
uso halafu unasikia sauti ya
anayekupiga ikisema "NILIKWAMBIA
IPO SIKU NITAKUKAMATA TU" Ile
kuinua sura unakutana na sura
usiyoifahamu kabisaaa! Halafu na yeye
anashituka baada ya kukuona vizuri,
kisha anakwambia "SAMAHANI
NIMEKUFANANISHA" Je, ni uamuzi
gani utauchukua???
 
Aisee naweza nikaishia kucheka tu huku naugulia maumivu!!!!!!
 
Hakuna msamaha,huo ni ujinga wala siwezi kumuelewa.
 
Hiv Bujibuji unafikiriaje mpaka kutunga vitu kama hivi? Nmecheka sana aisee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom