Kama ndio inakutokea, utachukua hatua gani?

Kama ndio inakutokea, utachukua hatua gani?

Hapo lazima kinukeee, eeti nimekufananisha halafu ndo umuache tu kwa vile kaomba msamaha mimi mbona atajuta kunifananisha
 
Hahahha nimecheka halafu nikapata picha mimi ndio yamenikuta hayo, nitamwambia naomba na mimi nikufanananishe aiseee
Mi mbio tu nitafikri labda nimemgegedea na hiyo kujifanya amenifananisha ni danganya toto ,kisu kinakuja hapo!
 
Hahahahaaaaaaa, mgegedo tena!!!!?
 
Hapo lazima kinukeee, eeti nimekufananisha halafu ndo umuache tu kwa vile kaomba msamaha mimi mbona atajuta kunifananisha

Utakuwa unamuonea mkuu kwa sababu ameomba msamaha
 
Unamuangalia kwanza km unammudu na ww unamfananisha kwanza
 
Huyu dawa yake unamkariri afu unakuja kumfananisha mbele ya mke wake
 
Niwe nammudu ama simmudu, jambo la busara kama kanifananisha na kuniomba Radhi, NAMSAMEHE TU
 
Back
Top Bottom