Kama ndio kikokotoo ni 33% Nawashauri watumishi endeleeni kula kwa urefu wa kamba zenu

ngebe

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
1,789
Reaction score
5,117
Maake sasa hizi ni dharau, na mateso, vyama wa wafanyakazi vimeshindwa kujua kua ile pesa ndio tunaitegemeaga sana kuinua miradi mikubwa,

Leo hii unipe 33% itanisaidia nini, mbn wabunge wanapewa 100% tena ni hela nyingi sana ndani ya 5yrs?

Mlipe mishahara midogo bado na pensheni mminye?

Kwakua serikali na vyama vya wafanyakazi wameamua kutudharau nashauri mtumishi yoyote popote pale ulipo we kula kwa urefu wa kamba yako, fuja kwa kadri utakavyoweza

FB_IMG_16535828958618717.jpg
 
Japo sishauri wapewe 100% lakini wangepewa 50%+. Nimeona wengi wakipewa hela ya mkupuo wanakuwa kama first year amepata bumu.
Na ndugu wakijua mshua amestaafu wanaweka kambi utadhani ni kwa mganga wa kienyeji, zikiisha wanasepa utawaona siku ya msiba wa presha.
 
Si sahihi kufika pesa za umma kwa kusingizia mshahara/ kiduchu. ... Achana na kazi.
 
Maake sasa hizi ni dharau, na mateso, vyama wa wafanyakazi vimeshindwa kujua kua ile pesa ndio tunaitegemeaga sana kuinua miradi mikubwa,

leo hii unipe 33% itanisaidia nini, mbn wabunge wanapewa 100% tena ni hela nyingi sana ndani ya 5yrs?
mlipe mishahara midogo bado na pensheni mminye?

kwakua serikali na vyama vya wafanyakazi wameamua kutudharau nashauri mtumishi yoyote popote pale ulipo we kula kwa urefu wa kamba yako, fuja kwa kadri utakavyoweza

View attachment 2239883
MBONA MLISEMA MAMA ANAUPIGA MWINGI NA MKAMPONGEZA SANA?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Hata hiyo asilimia 33 bado ni kubwa Sana kwa mtanzania wa kawaida aliyezoea shida na kupanda kwa Bei za bidhaa na huduma.
Nashauri wapewe asilimia 10 tu, Tena waisotee miaka mitatu . Kwanza MTU akistaafu anakua ameshasomesha watoto wote na watoto wote wanajitegemea. Sasa mihela yootre hiyo mtu unaihitaji ya nini.
Dada Joy please review and make it 10 percentum.
 
Daaah ! Mkuu utatuulia retired kabla ya muda
 
Vyama vya wafanyakazi Tanzania ndio adui wa kwanza wa mfanyakazi ila wafanyakazi wengi hawaelewi ndio maana wanakubali kukatwa asilimia mbili ya gross salary ili vyama hivyo ambavyo havina lengo la kumtetea mfanyakazi vile kwa kete ya ada.

TUCTA walipaswa kukusanya,maoni kwanza kila sehemu ya kazi sio wao kuwaamulia wafanyakazi asilimia ya kikokotoo.

Kikokotoo cha asilimia 33 ni mauaji kwa wafanyakazi; sasa mtu aliyefanya kazi miaka 30 ataambulia kati ya milioni saba hadi chini ya arobaini kutegemeana kama operational staff au officer. Na kumbuka kuwa pensheni ya mwezi hairithiwi.
 
Maake sasa hizi ni dharau, na mateso, vyama wa wafanyakazi vimeshindwa kujua kua ile pesa ndio tunaitegemeaga sana kuinua miradi mikubwa,

Leo hii unipe 33% itanisaidia nini, mbn wabunge wanapewa 100% tena ni hela nyingi sana ndani ya 5yrs?

Mlipe mishahara midogo bado na pensheni mminye?

Kwakua serikali na vyama vya wafanyakazi wameamua kutudharau nashauri mtumishi yoyote popote pale ulipo we kula kwa urefu wa kamba yako, fuja kwa kadri utakavyoweza

View attachment 2239883
Walimu hata wakikomeshwa haina shida
 
Hata hiyo asilimia 33 bado ni kubwa Sana kwa mtanzania wa kawaida aliyezoea shida na kupanda kwa Bei za bidhaa na huduma.
Nashauri wapewe asilimia 10 tu, Tena waisotee miaka mitatu . Kwanza MTU akistaafu anakua ameshasomesha watoto wote na watoto wote wanajitegemea. Sasa mihela yootre hiyo mtu unaihitaji ya nini.
Dada Joy please review and make it 10 percentum.
😀😀😀
 
Hili nilishalisema tangu enzi za Jiwe kuwa ukipata Target piga risasi
Yaani kama vitani tu.
Hii nchi ina mambo ya hovyo.
Mbunge darasa la saba atumikie miaka 5 kisha umpe mafao ya milioni 250 huku daktari atumikie miaka 40 umpe milioni 150 inawezekana vipi?.
 
Watanzania tuna matatizo Sana,Mungu atusaidie.
 
Maake sasa hizi ni dharau, na mateso, vyama wa wafanyakazi vimeshindwa kujua kua ile pesa ndio tunaitegemeaga sana kuinua miradi mikubwa,

Leo hii unipe 33% itanisaidia nini, mbn wabunge wanapewa 100% tena ni hela nyingi sana ndani ya 5yrs?

Mlipe mishahara midogo bado na pensheni mminye?

Kwakua serikali na vyama vya wafanyakazi wameamua kutudharau nashauri mtumishi yoyote popote pale ulipo we kula kwa urefu wa kamba yako, fuja kwa kadri utakavyoweza

View attachment 2239883
Dawa ni kuiba sn tena kwa fujo, ibeni hakuna nchi hapa
 
Japo sishauri wapewe 100% lakini wangepewa 50%+. Nimeona wengi wakipewa hela ya mkupuo wanakuwa kama first year amepata bumu.
Na ndugu wakijua mshua amestaafu wanaweka kambi utadhani ni kwa mganga wa kienyeji, zikiisha wanasepa utawaona siku ya msiba wa presha.
Kusaidia ni hiari na siyo lazima, mtu apewe 100% akila si ya kwake?
 
Hili nilishalisema tangu enzi za Jiwe kuwa ukipata Target piga risasi
Yaani kama vitani tu.
Hii nchi ina mambo ya hovyo.
Mbunge darasa la saba atumikie miaka 5 kisha umpe mafao ya milioni 250 huku daktari atumikie miaka 40 umpe milioni 150 inawezekana vipi?.
Wanajaribu kutuonyesha kuwa wao wana akili sana kuliko sisi..
 
Back
Top Bottom