Kama ndio kikokotoo ni 33% Nawashauri watumishi endeleeni kula kwa urefu wa kamba zenu

Kama ndio kikokotoo ni 33% Nawashauri watumishi endeleeni kula kwa urefu wa kamba zenu

Maake sasa hizi ni dharau, na mateso, vyama wa wafanyakazi vimeshindwa kujua kua ile pesa ndio tunaitegemeaga sana kuinua miradi mikubwa,

Leo hii unipe 33% itanisaidia nini, mbn wabunge wanapewa 100% tena ni hela nyingi sana ndani ya 5yrs?

Mlipe mishahara midogo bado na pensheni mminye?

Kwakua serikali na vyama vya wafanyakazi wameamua kutudharau nashauri mtumishi yoyote popote pale ulipo we kula kwa urefu wa kamba yako, fuja kwa kadri utakavyoweza

View attachment 2239883
Naunga mkono hoja. Maana hakuna namna nyingine. Hawa washenzi wanataka tu kutengeneza matabaka ya maskini na matajiri.

Haiwezekani hela ni ya kwangu, halafu from nowhere tu uje unipangie matumizi.
 
Kusema kweli ni muhimu tuiondoe ccm madarakani haifai kabisa kwani ni wanyanyasaji wakubwa sana wa watazania
 
HII NCHI IMELAANIWA NA VIZAZI VYOTE VITAKAVYOFUATA VIMELAANIWA MILELE
 
Kusema kweli ni muhimu tuiondoe ccm madarakani haifai kabisa kwani ni wanyanyasaji wakubwa sana wa watazania
Ukiiondoa,unamweka nani?
Naona wote ni wale wale tu.
Ila ninachoamini,mabadiliko yatatoka CCM humo humo.

Chadema walituhadaa,ila nimekuja kugundua ni matapeli tu kama walivyo matapeli wengine
 
Japo sishauri wapewe 100% lakini wangepewa 50%+. Nimeona wengi wakipewa hela ya mkupuo wanakuwa kama first year amepata bumu.
Na ndugu wakijua mshua amestaafu wanaweka kambi utadhani ni kwa mganga wa kienyeji, zikiisha wanasepa utawaona siku ya msiba wa presha.

[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maake sasa hizi ni dharau, na mateso, vyama wa wafanyakazi vimeshindwa kujua kua ile pesa ndio tunaitegemeaga sana kuinua miradi mikubwa,

Leo hii unipe 33% itanisaidia nini, mbn wabunge wanapewa 100% tena ni hela nyingi sana ndani ya 5yrs?

Mlipe mishahara midogo bado na pensheni mminye?

Kwakua serikali na vyama vya wafanyakazi wameamua kutudharau nashauri mtumishi yoyote popote pale ulipo we kula kwa urefu wa kamba yako, fuja kwa kadri utakavyoweza

View attachment 2239883

Ni 33% kwenye kikokotooo bhana ! Siyo kwenye base amount ! Sasa tafuta kikokotoo ndio uelewe kiasi unachoweza kupata kwa mkupuo na pension ya kila mwezi. Annual Emoulments ni wastani wa mishahara mikubwa ya miezi mitatu ndani ya miaka kumi, miezi uliyo changia kwa jumla, na kadhalika ndio utajua mpunga unaovuta chap !
 
Japo sishauri wapewe 100% lakini wangepewa 50%+. Nimeona wengi wakipewa hela ya mkupuo wanakuwa kama first year amepata bumu.
Na ndugu wakijua mshua amestaafu wanaweka kambi utadhani ni kwa mganga wa kienyeji, zikiisha wanasepa utawaona siku ya msiba wa presha.
Noma sana!
 
Hivi watu wanajua kuwa mpaka sasa kwa wastaafu waliokuwa PPF na NSSF bado wanalipwa pensheni kwa kikokotoo cha asilimia 25% ? Kwa hiyo kwa waliokuwa PPF na NSSF (na sasa kwa lazima wako PSSSF) wao wa naona kikokotoo cha asilimia 33% angalau wamepanda!!!

Hivi Samia (rais) angesema inabidi hata wabunge walipwe pensheni kwa kikokotoo cha asilimia 25% si huko bungeni kungewaka moto??
 
Kama unastahili milioni 100, maana yake unapewa milioni 30 na visenti kadhaa, kama zote ni michango yako, unapewa milioni 30, inakufa baada ya mwezi mmoja, kwa nini beneficiaries wako wasipate kiwango kilichobaki, kwa sababu ni haki yako na ilikatwa kwenye mshahara wako? At least ipigiwe hesabu kwa miaka kumi mbele waki assume ungekuwa hai?!
 
Back
Top Bottom