Watz hawahitaji katiba mpya kwa sasa.KATIBA MPYAA HAIEPUKIKI.....wameshiba wamevi...
MBONA MLISEMA MAMA ANAUPIGA MWINGI NA MKAMPONGEZA SANA?Maake sasa hizi ni dharau, na mateso, vyama wa wafanyakazi vimeshindwa kujua kua ile pesa ndio tunaitegemeaga sana kuinua miradi mikubwa,
leo hii unipe 33% itanisaidia nini, mbn wabunge wanapewa 100% tena ni hela nyingi sana ndani ya 5yrs?
mlipe mishahara midogo bado na pensheni mminye?
kwakua serikali na vyama vya wafanyakazi wameamua kutudharau nashauri mtumishi yoyote popote pale ulipo we kula kwa urefu wa kamba yako, fuja kwa kadri utakavyoweza
View attachment 2239883
MnufaikaWatz hawahitaji katiba mpya kwa sasa.
Daaah ! Mkuu utatuulia retired kabla ya mudaHata hiyo asilimia 33 bado ni kubwa Sana kwa mtanzania wa kawaida aliyezoea shida na kupanda kwa Bei za bidhaa na huduma.
Nashauri wapewe asilimia 10 tu, Tena waisotee miaka mitatu . Kwanza MTU akistaafu anakua ameshasomesha watoto wote na watoto wote wanajitegemea. Sasa mihela yootre hiyo mtu unaihitaji ya nini.
Dada Joy please review and make it 10 percentum.
Walimu hata wakikomeshwa haina shidaMaake sasa hizi ni dharau, na mateso, vyama wa wafanyakazi vimeshindwa kujua kua ile pesa ndio tunaitegemeaga sana kuinua miradi mikubwa,
Leo hii unipe 33% itanisaidia nini, mbn wabunge wanapewa 100% tena ni hela nyingi sana ndani ya 5yrs?
Mlipe mishahara midogo bado na pensheni mminye?
Kwakua serikali na vyama vya wafanyakazi wameamua kutudharau nashauri mtumishi yoyote popote pale ulipo we kula kwa urefu wa kamba yako, fuja kwa kadri utakavyoweza
View attachment 2239883
πππHata hiyo asilimia 33 bado ni kubwa Sana kwa mtanzania wa kawaida aliyezoea shida na kupanda kwa Bei za bidhaa na huduma.
Nashauri wapewe asilimia 10 tu, Tena waisotee miaka mitatu . Kwanza MTU akistaafu anakua ameshasomesha watoto wote na watoto wote wanajitegemea. Sasa mihela yootre hiyo mtu unaihitaji ya nini.
Dada Joy please review and make it 10 percentum.
Hili nilishalisema tangu enzi za Jiwe kuwa ukipata Target piga risasi
Yaani kama vitani tu.
Hii nchi ina mambo ya hovyo.
Mbunge darasa la saba atumikie miaka 5 kisha umpe mafao ya milioni 250 huku daktari atumikie miaka 40 umpe milioni 150 inawezekana vipi?.
Wanasiasa sasa wamevimbiwa. Wameanza kuwapanda vichwa watanzania daraja la chini. Karma is a bitch
Dawa ni kuiba sn tena kwa fujo, ibeni hakuna nchi hapaMaake sasa hizi ni dharau, na mateso, vyama wa wafanyakazi vimeshindwa kujua kua ile pesa ndio tunaitegemeaga sana kuinua miradi mikubwa,
Leo hii unipe 33% itanisaidia nini, mbn wabunge wanapewa 100% tena ni hela nyingi sana ndani ya 5yrs?
Mlipe mishahara midogo bado na pensheni mminye?
Kwakua serikali na vyama vya wafanyakazi wameamua kutudharau nashauri mtumishi yoyote popote pale ulipo we kula kwa urefu wa kamba yako, fuja kwa kadri utakavyoweza
View attachment 2239883
Kusaidia ni hiari na siyo lazima, mtu apewe 100% akila si ya kwake?Japo sishauri wapewe 100% lakini wangepewa 50%+. Nimeona wengi wakipewa hela ya mkupuo wanakuwa kama first year amepata bumu.
Na ndugu wakijua mshua amestaafu wanaweka kambi utadhani ni kwa mganga wa kienyeji, zikiisha wanasepa utawaona siku ya msiba wa presha.
Wanajaribu kutuonyesha kuwa wao wana akili sana kuliko sisi..Hili nilishalisema tangu enzi za Jiwe kuwa ukipata Target piga risasi
Yaani kama vitani tu.
Hii nchi ina mambo ya hovyo.
Mbunge darasa la saba atumikie miaka 5 kisha umpe mafao ya milioni 250 huku daktari atumikie miaka 40 umpe milioni 150 inawezekana vipi?.