Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ni dharau kubwa snHili nilishalisema tangu enzi za Jiwe kuwa ukipata Target piga risasi
Yaani kama vitani tu.
Hii nchi ina mambo ya hovyo.
Mbunge darasa la saba atumikie miaka 5 kisha umpe mafao ya milioni 250 huku daktari atumikie miaka 40 umpe milioni 150 inawezekana vipi?.
Ni dharau kubwa sn
MBONA MLISEMA MAMA ANAUPIGA MWINGI NA MKAMPONGEZA SANA?
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Ni salama kwa UVCCMSana Sana Sana.Tanzania sio sehemu salama ya kuishi.
Tena kuna kada kama polisi wengi hulipwa kiinua mgongo chini ya milioni 100.Ni dharau kubwa sn
Polisi hata wangelipwa milioni 6 inatosha kabisa sioni kazi ya kuwafanya walipe pesa zote hizoTena kuna kada kama polisi wengi hulipwa kiinua mgongo chini ya milioni 100.
Wengine wanaambulia milioni 40 tu
Hawa si ndio wanatumiwa na ccm kuhujumu chaguzi!Walimu hata wakikomeshwa haina shida
Naunga mkono hoja. Maana hakuna namna nyingine. Hawa washenzi wanataka tu kutengeneza matabaka ya maskini na matajiri.Maake sasa hizi ni dharau, na mateso, vyama wa wafanyakazi vimeshindwa kujua kua ile pesa ndio tunaitegemeaga sana kuinua miradi mikubwa,
Leo hii unipe 33% itanisaidia nini, mbn wabunge wanapewa 100% tena ni hela nyingi sana ndani ya 5yrs?
Mlipe mishahara midogo bado na pensheni mminye?
Kwakua serikali na vyama vya wafanyakazi wameamua kutudharau nashauri mtumishi yoyote popote pale ulipo we kula kwa urefu wa kamba yako, fuja kwa kadri utakavyoweza
View attachment 2239883
[emoji38][emoji38][emoji38]Hawa si ndio wanatumiwa na ccm kuhujumu chaguzi!
Ukiiondoa,unamweka nani?Kusema kweli ni muhimu tuiondoe ccm madarakani haifai kabisa kwani ni wanyanyasaji wakubwa sana wa watazania
Japo sishauri wapewe 100% lakini wangepewa 50%+. Nimeona wengi wakipewa hela ya mkupuo wanakuwa kama first year amepata bumu.
Na ndugu wakijua mshua amestaafu wanaweka kambi utadhani ni kwa mganga wa kienyeji, zikiisha wanasepa utawaona siku ya msiba wa presha.
Maake sasa hizi ni dharau, na mateso, vyama wa wafanyakazi vimeshindwa kujua kua ile pesa ndio tunaitegemeaga sana kuinua miradi mikubwa,
Leo hii unipe 33% itanisaidia nini, mbn wabunge wanapewa 100% tena ni hela nyingi sana ndani ya 5yrs?
Mlipe mishahara midogo bado na pensheni mminye?
Kwakua serikali na vyama vya wafanyakazi wameamua kutudharau nashauri mtumishi yoyote popote pale ulipo we kula kwa urefu wa kamba yako, fuja kwa kadri utakavyoweza
View attachment 2239883
Noma sana!Japo sishauri wapewe 100% lakini wangepewa 50%+. Nimeona wengi wakipewa hela ya mkupuo wanakuwa kama first year amepata bumu.
Na ndugu wakijua mshua amestaafu wanaweka kambi utadhani ni kwa mganga wa kienyeji, zikiisha wanasepa utawaona siku ya msiba wa presha.
Hao wengine wanasemaje kuhusu mafao na kikokotoo?Kusema kweli ni muhimu tuiondoe ccm madarakani haifai kabisa kwani ni wanyanyasaji wakubwa sana wa watazania
CDM hata wakishindwa kutoa shuzi, watasema sababu katiba mpyaKATIBA MPYAA HAIEPUKIKI.....wameshiba wamevi...