Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
- Thread starter
- #21
[emoji848]Na unavyozidi kuwa mnene, na kile kiungo kinakuwa kinapungua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji848]Na unavyozidi kuwa mnene, na kile kiungo kinakuwa kinapungua
[emoji23]nyama yenyewe kiduchuu Unaambiwa kg 2 hzoIngekuwa hivyo basi buchani tusingepata uzito wa nyama ya 'steki tupu'
[emoji23][emoji1666]Haya mambo ya kusingamana wakati tunakula sio vizuri kabisa iko siku tutawafungulia kesi ya kuoneana wivu
Thus why nawaambia Unene una mchango mdogo kwenye ongezeko la uzitoHamna unene hapa
najaribu kujiuliza, mke na mme kama ni wanene hvo wanafanyaje sasa[emoji848]Ile kazi itakuwa kazi kweli kweli au nasema uongo ndugu zangu.
hakuna bonge mwenye mifupa mizitoUzito upo kwenye mifupa siyo nyama.
Weka picha tuoneHabari za wakati huu,
Jamani kuna unene mwingne unatuweka katika wakati mgumu sana aise!
Juzi kati hapa kaja jamaa fulani kununua nguo, mnene kwelikweli. Basi nguo alizohitaji, hakupata size yake, nikamwelekeza kwingine.
baada ya muda (kama masaa 2) alirudi akidai hajafanikiwa [emoji848]. Dah, basi nikamshauri akaonane na mafundi, huyoo na tape yake[emoji3].
Jana kaja mwingne tena wa aina yake, kazunguka wee holaa!
[emoji3][emoji3]. Badae akafanikiwa kupata baadhi kwa jamaa yangu hapo.
Jamaa amekuja kunisimulia kwamba kamuuzia kwa bei ya tikitaka! (bei aliyotamka muuzaji haikupingwa) nahisi ni kutokana na kuzunguka kwa muda mrefu bila mafanikio, kwakweli jamaa kanyanyasika!
[emoji848][emoji848]
...hapana..
KATAA UNENE!
[emoji38][emoji38]Unene mwingine ni wa asili mkuu. Mimi mwenyewe Nina miaka 29 lakini Nina kilo 91
Karibia wanene wote wana lugha hii. Unene wa asili. HAKUNA UNENE WA ASILI MTU ASIKUDANGANYE. Wengi ni ksbb ya kula sana. Hapo utasikia nakula kidogo au nakula mara mbili kwa siku. Unakuta hiyo kula kidogo ni sahani nzima ya wali na nyama. Hiyo haisaidii kupunguza unene.Unene mwingine ni wa asili mkuu. Mimi mwenyewe Nina miaka 29 lakini Nina kilo 91
Upo vizuri tu...wala hutishi.
Nyie wanawake huwa mnahangaima na vitu vidogo sana na wivu sometimes. Hapo wewe utakuwa kimbaumbau unaona wenzio wana mavitu ya maana chini ya mgongo unaumia. Sisi wanaume wengi tunapenda shape za kibantu. Nyie wembamba labda itokee tu....😂tafuta pesa usitafute watu dada.Habari za wakati huu,
Jamani kuna unene mwingne unatuweka katika wakati mgumu sana aise!
Juzi kati hapa kaja jamaa fulani kununua nguo, mnene kwelikweli. Basi nguo alizohitaji, hakupata size yake, nikamwelekeza kwingine.
baada ya muda (kama masaa 2) alirudi akidai hajafanikiwa [emoji848]. Dah, basi nikamshauri akaonane na mafundi, huyoo na tape yake[emoji3].
Jana kaja mwingne tena wa aina yake, kazunguka wee holaa!
[emoji3][emoji3]. Badae akafanikiwa kupata baadhi kwa jamaa yangu hapo.
Jamaa amekuja kunisimulia kwamba kamuuzia kwa bei ya tikitaka! (bei aliyotamka muuzaji haikupingwa) nahisi ni kutokana na kuzunguka kwa muda mrefu bila mafanikio, kwakweli jamaa kanyanyasika!
[emoji848][emoji848]
...hapana..
KATAA UNENE!
Wanawake wa Kiswahili hawajui haya.Badala ya kumsimanga ungechukulia kama fursa ukawa unauza nguo za watu wanene Kwa bei mbaya
Ebu tuwekane sana.Unene mwingine ni wa asili mkuu. Mimi mwenyewe Nina miaka 29 lakini Nina kilo 91
Bila shaka kisu kilitumika(sio kwa ubaya, nawaza tu maana hizo kilo ni za mtoto wa miezi 3 Duniani)Nilizaliwa na kilo 5.5