Kama ndiyo hivi, unene ni mateso!

Kama ndiyo hivi, unene ni mateso!

Nyie wanawake huwa mnahangaima na vitu vidogo sana na wivu sometimes. Hapo wewe utakuwa kimbaumbau unaona wenzio wana mavitu ya maana chini ya mgongo unaumia. Sisi wanaume wengi tunapenda shape za kibantu. Nyie wembamba labda itokee tu....
hauko makini ktk kutoa maon
 
Nyie wanawake huwa mnahangaima na vitu vidogo sana na wivu sometimes. Hapo wewe utakuwa kimbaumbau unaona wenzio wana mavitu ya maana chini ya mgongo unaumia. Sisi wanaume wengi tunapenda shape za kibantu. Nyie wembamba labda itokee tu....[emoji23]tafuta pesa usitafute watu dada.
Leo nmegundua kumbe wewe ni mnene/big/overweight/Bonge/Minyamauzembe/Kitukunya/Tinkinya/Fuso/Puto.

Nyie ndo huwa mnaambiwa "Tafadhali abiria tunakuomba ushuke, Gari linaenda mzani" [emoji23]

Nyie ndo mnalipishwa nauli za watu wawili kwenye siti.

Nyie ndo mkipanda mzani kupima uzito unasoma 'to be continued'
 
Sawa sister.
 
Ndiyo maana nimesema uzito unachangiwa na mifupa na mafuta kwa kiasi kikubwa na siyo nyama
Mkuu una urefu futi ngapi?, kama upo chini ya futi 6 basi jua una uzito mkubwa sana na hiyo ni dalili ya unene usi relax Mkuu, kata mwili ucheze kwenye kg 70-75 hapo ndio angalau utasema sio mnene.

Kama pia hauwezi kutembea km 5+ jua kipengele unacho Mkuu.

Sikatai kuna watu wana yzito mkubwa kuliko muonekano wa kujaa kwa miili yao ila amini kuwa huo uzito ukiwa mkubwa tofauti na uwiano wa urefu wao bado ni tatizo.

Kwa kg zako unatakiwa uwe mrefu vyakutosha angalau futi 6.2+, sasa hapo jipime mwenyewe Mkuu ujikadirie.
 
Urefu futi 5.8, kila weekend nakimbia jumla 50km plus other touch exercises. Niliwahi kufyeka na kung'oa visiki ekari 5 kwa mwezi mmoja. Nasomba maji kwa mikono kwa kubebe madumu mawili ya 20ltrs jumla pipa tatu
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Karibia wanene wote wana lugha hii. Unene wa asili. HAKUNA UNENE WA ASILI MTU ASIKUDANGANYE. Wengi ni ksbb ya kula sana. Hapo utasikia nakula kidogo au nakula mara mbili kwa siku. Unakuta hiyo kula kidogo ni sahani nzima ya wali na nyama. Hiyo haisaidii kupunguza unene.
Angalia ni chakula gani unakula. Na ni kwa kiasi gani. Mazoezi lazima kila siku
Shida kubwa ya hawa watu wanakuwa na apetite ya ajabu sana,inafikia mahali anaweza kuamka hata saa 6 usiku au saa 8 akala msosi mzito,na kingine wengi wao huwa ni wavivu sana kwahiyo hata mazoezi kwao huwa ni mzigo...
 
Umri miaka 29, 91kg, Urefu futi 5.8, kila weekend nakimbia jumla 50km plus other touch exercises. Niliwahi kufyeka na kung'oa visiki ekari 5 kwa mwezi mmoja. Nasomba maji kwa mikono kwa kubebe madumu mawili ya 20ltrs jumla pipa tatu
 
Kijiti kimetufikia vibonge leo😂😂
 
Back
Top Bottom