Kama ndo wale ni mawakili wa serikali wanaosimamia kesi shitaka upande wa serikali ni aibu.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Nahisi ni mahakama hipo upande wa fulani wakubwa ila kwa kama mahakama zingekuwa uhuru hii kesi hata kituo cha polisi ingemalizika hapo.

Yani wale mawakili wa serikali nimejaribu kutafakali yani ndio serikali inategemea wanaweza kushinda kesi kubwa za kutikisa taifa kwa mtindo huu kila muda wanaomba kuharisha kesi na hoja za kitoto.

Kwa hili sina la kusema.
 
Sasa mtu kapapewa kazi kwa connection with poor thinking capacity badala ya kufanyiwa deep interview wakaachwa wenye uwezo mkubwa. Hapo unategemea nini?
 
Ndio maana naiheshimu sana Private sector always!
Aisee serikalini kuna watu incompetent hujawahi kuona ...
Sijajua hivi walipokuwa wanaajiriwa walikuwa hivi au mazingira waliokuta ndio yamewafanya wale retarded to this extent!
Hatari sana!
 
Shida sio uwakili shida ni kuiaminisha jamhuri kwamba mchina "Li Soo" ana hatia mbele ya kadamnasi ilihali wanajua ukweli kuwa hana.
Ndiyo maana Jf huwa sitaki kutoka mie, Mchina 'Li Soo', dah!
Umenitengenezea furaha tele moyoni mwangu kwa siku ya leo.
Ubarikiwe sana mweshimiwa.
 
Ndio maana naiheshimu sana Private sector always!
Aisee serikalini kuna watu incompetent hujawahi kuona ...
Sijajua hivi walipokuwa wanaajiriwa walikuwa hivi au mazingira waliokuta ndio yamewafanya wale retarded to this extent!
Hatari sana!
Mkuu wako competent vizuri sana. Wanakuwa compromised na aliyewatuma.
 
Mnawalaumu Bure tu.Hizo KESI ni za kupikwa na ni maagizo kutoka Kwa jamia na anawaambia mawakili wake wafanye mbinu zote kushinda KESI japo KESI ni za uongo.Na kitu Cha uongo kukigeuza lionekane ni Cha kweli ni ngumu ndiyo maana wanajikanyaga kanyaga
 
wakili mwenye kushitaki anaangalia simu muda wote kuona anaelekezwa nini kutoka juu wakati mwanasheria msomi TAL anawavua nguo mbele ya mabalozi, na walivyo vilazaa waliona ni sifa kuiweka live ili dunia ione uhaini wa lisu kumbe wameanika kende zao chafu hadharani, kimsingi hakuna wanasheria pale ni wauza dagaa tupu , mpaka mabalozi wanashangaa mtu anaongea vitu serious wewe unachatt na simu kwa kweli hii ni mpango wa Mungu kuwaumbua hawa jamaa.
 
Nahisi ni mahakama hipo upande wa fulani wakubwa ila kwa kama mahakama zingekuwa uhuru hii kesi hata kituo cha polisi ingemalizika hapo.

Yani wale mawakili wa serikali nimejaribu kutafakali yani ndio serikali inategemea wanaweza kushinda kesi kubwa za kutikisa taifa kwa mtindo huu kila muda wanaomba kuharisha kesi na hoja za kitoto.

Kwa hili sina la kusema.
Yule Nasssoro alipata Division 3 na ana GPA ya 2.4 nashangaa kafikaje kuwa Wakili Mwandamizi. Mweupe sana na piko zake kichwani.
 
Nahisi ni mahakama hipo upande wa fulani wakubwa ila kwa kama mahakama zingekuwa uhuru hii kesi hata kituo cha polisi ingemalizika hapo.

Yani wale mawakili wa serikali nimejaribu kutafakali yani ndio serikali inategemea wanaweza kushinda kesi kubwa za kutikisa taifa kwa mtindo huu kila muda wanaomba kuharisha kesi na hoja za kitoto.

Kwa hili sina la kusema.
BRO Fbn,,,hayo ndo matokeo ya kupeana ajira kwa kujuana,,majiniazi wapo kitaa lakini vilaza vipo kwenye mifumo ya serikal!!
 
Nahisi ni mahakama hipo upande wa fulani wakubwa ila kwa kama mahakama zingekuwa uhuru hii kesi hata kituo cha polisi ingemalizika hapo.

Yani wale mawakili wa serikali nimejaribu kutafakali yani ndio serikali inategemea wanaweza kushinda kesi kubwa za kutikisa taifa kwa mtindo huu kila muda wanaomba kuharisha kesi na hoja za kitoto.

Kwa hili sina la kusema.
Tegemeo lao kubwa ni jaji kukubaliana na utetezi wao kama alivyosema mkuu wao wana ushirikiano na mahakama kitu ambacho watuhumiwa hawana.
 
Back
Top Bottom