Sasa mtu kapapewa kazi kwa connection with poor thinking capacity badala ya kufanyiwa deep interview wakaachwa wenye uwezo mkubwa. Hapo unategemea nini?Nahisi ni mahakama hipo upande wa fulani wakubwa ila kwa kama mahakama zingekuwa uhuru hii kesi hata kituo cha polisi ingemalizika hapo.
Yani wale mawakili wa serikali nimejaribu kutafakali yani ndio serikali inategemea wanaweza kushinda kesi kubwa za kutikisa taifa kwa mtindo huu kila muda wanaomba kuharisha kesi na hoja za kitoto.
Kwa hili sina la kusema.
Ndiyo maana Jf huwa sitaki kutoka mie, Mchina 'Li Soo', dah!Shida sio uwakili shida ni kuiaminisha jamhuri kwamba mchina "Li Soo" ana hatia mbele ya kadamnasi ilihali wanajua ukweli kuwa hana.
HahahaMawakili wenyewe people's, sema njaa mbaya sana
Mkuu wako competent vizuri sana. Wanakuwa compromised na aliyewatuma.Ndio maana naiheshimu sana Private sector always!
Aisee serikalini kuna watu incompetent hujawahi kuona ...
Sijajua hivi walipokuwa wanaajiriwa walikuwa hivi au mazingira waliokuta ndio yamewafanya wale retarded to this extent!
Hatari sana!
Yule Nasssoro alipata Division 3 na ana GPA ya 2.4 nashangaa kafikaje kuwa Wakili Mwandamizi. Mweupe sana na piko zake kichwani.Nahisi ni mahakama hipo upande wa fulani wakubwa ila kwa kama mahakama zingekuwa uhuru hii kesi hata kituo cha polisi ingemalizika hapo.
Yani wale mawakili wa serikali nimejaribu kutafakali yani ndio serikali inategemea wanaweza kushinda kesi kubwa za kutikisa taifa kwa mtindo huu kila muda wanaomba kuharisha kesi na hoja za kitoto.
Kwa hili sina la kusema.
BRO Fbn,,,hayo ndo matokeo ya kupeana ajira kwa kujuana,,majiniazi wapo kitaa lakini vilaza vipo kwenye mifumo ya serikal!!Nahisi ni mahakama hipo upande wa fulani wakubwa ila kwa kama mahakama zingekuwa uhuru hii kesi hata kituo cha polisi ingemalizika hapo.
Yani wale mawakili wa serikali nimejaribu kutafakali yani ndio serikali inategemea wanaweza kushinda kesi kubwa za kutikisa taifa kwa mtindo huu kila muda wanaomba kuharisha kesi na hoja za kitoto.
Kwa hili sina la kusema.
Tegemeo lao kubwa ni jaji kukubaliana na utetezi wao kama alivyosema mkuu wao wana ushirikiano na mahakama kitu ambacho watuhumiwa hawana.Nahisi ni mahakama hipo upande wa fulani wakubwa ila kwa kama mahakama zingekuwa uhuru hii kesi hata kituo cha polisi ingemalizika hapo.