Kama ndoa ndio hii basi imenishinda

Kama ndoa ndio hii basi imenishinda

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Kaka Magical power habari ya usiku huu kaka
1731186867205.jpg

Kaka angu ndoa imenishinda kama ndoa ndio hii basi imenishinda, nipo kwenye ndoa mimi ni Bi. Mkubwa mwanaume wangu kaoa wawili mwaka huu kwangu anakuja hata mara mbili kwa mwezi na akija anakuja nikiwa kwenye siku za kike kwasababu anajua mzunguko wangu huwa ananiletea taulo za kujistiri au akija siku za kawaida anasema anaumwa au hajisikii amsechoka analala amenguka upande

Nawaza kuachika au nichepuke tu kwasababu nateseka na hamu huko kwa wenzangu anakaa sana bi mdogo ni rafiki yangu nilijaribu kuongea naye kuhusu changamoto ya huyo mume wetu anasema ana henia kama anajua hiyo changamoto akasema hajui nikamuuliza kuhusu tendo la ndoa kama anashiriki naye akasema yuko vizuri tu na vigumu sana kulala bila kufanya hata asipofanya ile mapema ila asubuhi lazima afanye naye labda awe kwenye hali ya kike ndipo hatafanya naye ila huwa inasimama. Kaka niliumia sana kwa maneno yale sikumwambia changamoto yangu nikanyamaza tu ila nilumia sana kwa nini mimi hanipi haki yangu. Natamani nichepuke hata nitoa hamu hata mara moja maana hata kazi haziendi wakati mwingine najisikia kiuno kinauma. Nina ndoa ila sipati tendo la ndoa 😢

Mimi magical power Tungeongea ila nashindwa apa naandika uku nafuta🙌🏿
 
Kaka Magical power habari ya usiku huu kaka
View attachment 3148157

Kaka angu ndoa imenishinda kama ndoa ndio hii basi imenishinda, nipo kwenye ndoa mimi ni Bi. Mkubwa mwanaume wangu kaoa wawili mwaka huu kwangu anakuja hata mara mbili kwa mwezi na akija anakuja nikiwa kwenye siku za kike kwasababu anajua mzunguko wangu huwa ananiletea taulo za kujistiri au akija siku za kawaida anasema anaumwa au hajisikii amsechoka analala amenguka upande

Nawaza kuachika au nichepuke tu kwasababu nateseka na hamu huko kwa wenzangu anakaa sana bi mdogo ni rafiki yangu nilijaribu kuongea naye kuhusu changamoto ya huyo mume wetu anasema ana henia kama anajua hiyo changamoto akasema hajui nikamuuliza kuhusu tendo la ndoa kama anashiriki naye akasema yuko vizuri tu na vigumu sana kulala bila kufanya hata asipofanya ile mapema ila asubuhi lazima afanye naye labda awe kwenye hali ya kike ndipo hatafanya naye ila huwa inasimama. Kaka niliumia sana kwa maneno yale sikumwambia changamoto yangu nikanyamaza tu ila nilumia sana kwa nini mimi hanipi haki yangu. Natamani nichepuke hata nitoa hamu hata mara moja maana hata kazi haziendi wakati mwingine najisikia kiuno kinauma. Nina ndoa ila sipati tendo la ndoa 😢

Mimi magical power Tungeongea ila nashindwa apa naandika uku nafuta🙌🏿 nicheck
 
Alitegemea Nini alipoolewa mitala hiyo bado Kuna saa ataachwa akae mpaka asijue ameolewa au yuko single
 
Back
Top Bottom