Kama ndoa yako au mahusiano yenu yanakaribia kuvunjika dawa hii hapa

Hakuna mwanaume wa hivyo au nasema uongo ndugu zangu?
 
Kujifanya mjinga siku ipite inawezekana ila inataka moyo sana, hususani mbele ya marafiki au ndugu yaani itaonekana umefanyiwa limbwata new model
 
Ukweli mtupu yaan.Hiyo ndo njia bora zaidi maana tunapenda sana kusikilizwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…