William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,792
- 2,421
Kwani kwa mujibu wa CHADEMA kuna mambo yoyote yaliwahi kubadilika na kuwa mazuri ?Ukiona hakuna Uhuru wa kukutana Hadi vikao vya ndani ujue Hali unarudi kuwa ngumu soon as possible.
Kuna unafuu ulianza kuonekana kwenye uchumi. Watu kuachiwa, kesi kufutwa, Wakulima kulipwa mazao ya biashara kwa keshi haswa pamba na Bei kupanda kutoka 800 kilo Hadi 1500. Ilikuwa NI dalili nzuri ya Uhuru wa kiuchumi.
Watumishi kuahidiwa kupanda madaraja na kulipwa madai yao kwa wakati. Niliona tunaenda kuzuri Sana.
Ila Sasa naona Kuna Giza zito mbele. Ukiona mijadala ya kitaifa Kama Katiba, Vikao vya nje na ndani na makongamano yanazuiwa kwa nguvu. Ujue tunarudi tulipokuwa kwa Kasi kubwa.
Watumishi hawata panda Tena madaraja kwa wakati.
Wakulima soon wataanza kukopwa.
Wanasiasa wengi watafungwa.
Vyombo vya habari vingi vitafungiwa.
Nasema hivyo kwasababu iwapo utazuia mijadala Basi kunakitu hautafanya sawasawa. Na watu wengi watafunja hizo amri na kujikuta hatiani. Ivi mkapa na Jk na mwinyi waliwezaje kupambana huku wakosoaji wakiwa kila siku jukwaani kuwapinga?
Ata Marekani chini ya ubaguzi wa rangi na mtu mweusi watu weusi waliandaa makongamano, mikutano ya hadhara na haikuwa kosa kufanya hivyo.
Yanayofanyika Sasa kwetu ndio yaliyofanyika Ethiopia Jana. Ya kujenga uchumi kwa kuzima Democrasia. NI wazi yanayofanyika kwetu kesho NI Yale yanayofanyika Sasa Ethiopia.
Tusubiri tuone
Uchumi ulionekanaje unafuu?Ukiona hakuna Uhuru wa kukutana Hadi vikao vya ndani ujue Hali unarudi kuwa ngumu soon as possible.
Kuna unafuu ulianza kuonekana kwenye uchumi. Watu kuachiwa, kesi kufutwa, Wakulima kulipwa mazao ya biashara kwa keshi haswa pamba na Bei kupanda kutoka 800 kilo Hadi 1500. Ilikuwa NI dalili nzuri ya Uhuru wa kiuchumi.
Watumishi kuahidiwa kupanda madaraja na kulipwa madai yao kwa wakati. Niliona tunaenda kuzuri Sana.
Ila Sasa naona Kuna Giza zito mbele. Ukiona mijadala ya kitaifa Kama Katiba, Vikao vya nje na ndani na makongamano yanazuiwa kwa nguvu. Ujue tunarudi tulipokuwa kwa Kasi kubwa.
Watumishi hawata panda Tena madaraja kwa wakati.
Wakulima soon wataanza kukopwa.
Wanasiasa wengi watafungwa.
Vyombo vya habari vingi vitafungiwa.
Nasema hivyo kwasababu iwapo utazuia mijadala Basi kunakitu hautafanya sawasawa. Na watu wengi watafunja hizo amri na kujikuta hatiani. Ivi mkapa na Jk na mwinyi waliwezaje kupambana huku wakosoaji wakiwa kila siku jukwaani kuwapinga?
Ata Marekani chini ya ubaguzi wa rangi na mtu mweusi watu weusi waliandaa makongamano, mikutano ya hadhara na haikuwa kosa kufanya hivyo.
Yanayofanyika Sasa kwetu ndio yaliyofanyika Ethiopia Jana. Ya kujenga uchumi kwa kuzima Democrasia. NI wazi yanayofanyika kwetu kesho NI Yale yanayofanyika Sasa Ethiopia.
Tusubiri tuone
Hivi hatuwezi kujadili siasa Logical bila kuweka uccm na Uchadema?!! Mwanzo wa kijinga katika kufikiri hakuwezi kukupa fikra sahihi.Kwani kwa mujibu wa CHADEMA kuna mambo yoyote yaliwahi kubadilika na kuwa mazuri ?
Acha siasa za kiafrika Kuna mabadiliko makubwa vijijini. Shinyanga, mwanza, tabora, Mwanza na singida.Uchumi ulionekanaje unafuu?
Makusanyo yaliongezeka au?
Au ulikua unaota tu bwashee?
Walioachiwa huru wameongeza pato kiasi gani kwenye uchumi au kwenye mzunguko?
Unawezaje kujadili hili tukio bila kuweka CDM na CCM wakati kinachoonrkana ni wao wanataka kuoneshana umwamba.Hivi hatuwezi kujadili siasa Logical bila kuweka uccm na Uchadema?!! Mwanzo wa kijinga katika kufikiri hakuwezi kukupa fikra sahihi.
Mnauana alafu wanayamaliza kwA kukaa kwenye meza ya mazungumzo kama Odinga na Kibaki...Unawezaje kujadili hili tukio bila kuweka CDM na CCM wakati kinachoonrkana ni wao wanataka kuoneshana umwamba.
Kauli za kishujaa kama, Wembe ni ule ule, Never and Never again, hatutakubali maana watu wako tayari kwa vita.
Sasa sisi tusio na vyama unataka tuanze kuwahurumia watu ambao kwanza wao wenyewe hawajihuhurumii.
Pili, wengine wako kazini ndio KULA yao hiyo ndio maana wengi siyo masikini.
Achana naye huyo kiazi.hao ndo wale wanaoifanya hii nchi iwe ovyo ivi ilivyo .Mtu hajui kua siasa ndo maisha ya kila siku na ustawi wa nchi yeye anaiwaza chadema tu.Hivi hatuwezi kujadili siasa Logical bila kuweka uccm na Uchadema?!! Mwanzo wa kijinga katika kufikiri hakuwezi kukupa fikra sahihi.
😅😅😅tutaongozwa kibishi sanaWazee wa ntwara fanyeni yenu na sie waha tuandike record ya kutoa rais.
mbona imeshamwagika sana tuHii nchi hadi siku damu ikimwagika ndio watu wataheshimiana
ID za kulipwaUnawezaje kujadili hili tukio bila kuweka CDM na CCM wakati kinachoonrkana ni wao wanataka kuoneshana umwamba.
Kauli za kishujaa kama, Wembe ni ule ule, Never and Never again, hatutakubali maana watu wako tayari kwa vita.
Sasa sisi tusio na vyama unataka tuanze kuwahurumia watu ambao kwanza wao wenyewe hawajihuhurumii.
Pili, wengine wako kazini ndio KULA yao hiyo ndio maana wengi siyo masikini.
CDM walikosea ku apply principle ya "One Size Fits All". Walipaswa wakae chini na wataalamu wa Siasa za vyama. Watahmini miaka 10 nyuma walifanya nini na walikwama wapi? Then hii Serikali ya SAMIA ni ya namna gani na na ni vipi wanapaswa kukabiliana nayo.Ukiona hakuna Uhuru wa kukutana Hadi vikao vya ndani ujue Hali unarudi kuwa ngumu soon as possible.
Kuna unafuu ulianza kuonekana kwenye uchumi. Watu kuachiwa, kesi kufutwa, Wakulima kulipwa mazao ya biashara kwa keshi haswa pamba na Bei kupanda kutoka 800 kilo Hadi 1500. Ilikuwa NI dalili nzuri ya Uhuru wa kiuchumi.
Watumishi kuahidiwa kupanda madaraja na kulipwa madai yao kwa wakati. Niliona tunaenda kuzuri Sana.
Ila Sasa naona Kuna Giza zito mbele. Ukiona mijadala ya kitaifa Kama Katiba, Vikao vya nje na ndani na makongamano yanazuiwa kwa nguvu. Ujue tunarudi tulipokuwa kwa Kasi kubwa.
Watumishi hawata panda Tena madaraja kwa wakati.
Wakulima soon wataanza kukopwa.
Wanasiasa wengi watafungwa.
Vyombo vya habari vingi vitafungiwa.
Nasema hivyo kwasababu iwapo utazuia mijadala Basi kunakitu hautafanya sawasawa. Na watu wengi watafunja hizo amri na kujikuta hatiani. Ivi mkapa na Jk na mwinyi waliwezaje kupambana huku wakosoaji wakiwa kila siku jukwaani kuwapinga?
Ata Marekani chini ya ubaguzi wa rangi na mtu mweusi watu weusi waliandaa makongamano, mikutano ya hadhara na haikuwa kosa kufanya hivyo.
Yanayofanyika Sasa kwetu ndio yaliyofanyika Ethiopia Jana. Ya kujenga uchumi kwa kuzima Democrasia. NI wazi yanayofanyika kwetu kesho NI Yale yanayofanyika Sasa Ethiopia.
Tusubiri tuone
Wewe unalipwa ngapi ?ID za kulipwa
Lazima tujitahidi kujadili au kuatak mtu. Tujadili hojaID za kulipwa
Ya mdude ndio alivyokuwa Malcom x katika umri wake. Inabidi kufundwa kujua namna ya kufanya harakati wakati uko huruCDM walikosea ku apply principle ya "One Size Fits All". Walipaswa wakae chini na wataalamu wa Siasa za vyama. Watahmini miaka 10 nyuma walifanya nini na walikwama wapi? Then hii Serikali ya SAMIA ni ya namna gani na na ni vipi wanapaswa kukabiliana nayo.
Kama kweli Mbowe anaweza kumpandisha MDUDE CHADEMA akiwa ametoka jela ya miezi 10, na kumtukana Rais SSH, huwezi kunishawishi kuwa Chama kina Ma STRATEGISTS. Kinapuyanga kwa matukio.
Hakuna mtu mwenye akili na hekima atakikubali CDM