Kama ni hivyo, susieni na Simu na Dreamliner maana huwezi jua wameweka nini!

Na chato hatoki, sisi tulime tu tule viazi magimbi ili tupate nguvu korona ikija ikwame ikose njia ya kuingia kwenye mwili wetu

Ndugu zangu ...

Ng'ombe🐄 walime ,
Mbuzi🐐 wapalilee yaani
" mbuzi wapalilie

"Chakula🥣🥗 kikiwepo hatuwezi pata magongwa

Miili yetu itaweza kupambana na Corona , Kama tukiweza kula"😂
🚶
 

Umesoma mada ya wave


Kuna siku mtakuja kusema JF ni shetani
 
Nimemsikiliza Museven kaongea kwa hekima sana, tena ana encourage watu wake waendelee na sio kumuachia Mungu, sasa njoo hapa kwetu[emoji3]
 
kikwete alikosea sana kuingia na majina ya mfukoni,wa kulaumiwa ni kikwete ,kikwete ndio muharibifu wa hili taifa
 
Ujinga wake ni upi? Labda kusema ukweli kwa kutumia maneno makali sana yasiyo na staha ila tofauti na hivyo yuko sawa kabisa.
mjinga tu huyo manzi hakana lolote kila mtu anaweza kuzungumza chochote apendacho sema ni hekima tu tunaona tuwe tunanyamaza.
 
kikwete alikosea sana kuingia na majina ya mfukoni,wa kulaumiwa ni kikwete ,kikwete ndio muharibifu wa hili taifa
Acha mawazo ya kulalamika, fanya mambo yako mwache mzee afanye shughuli zake ukitaka nawewe gombea sio kulalamika lalamika tu utafikiri nyumbani kwenu mlishawai toa hata, mwenyekiti wa kijiji. fanya yako.
 
Bila kusahau chanjo ya Polio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…