Kama ni hivyo, susieni na Simu na Dreamliner maana huwezi jua wameweka nini!


Hii ya mzee baba na genge lake inaitwa sizitaki mbichi hizi.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Msameheni bure halijui atendalo
 
Kabla ya kuja hizo tekenologia za wazungu babu zetu waliishi namna gani??
 
Kikwete probably hakujua au Kulikuwa na kundi lilikuwa linamzidi nguvu au alilisikiliza sana.

Na hilo kundi ndio lilikwamisha katiba ya Warioba.
Exactly, I do agree with your contention. LAKINI In administration/ management, we say that there is NO GROUP power. Power is invariably personal! Kikwete kama angelikuwa siyo DHAIFU, ultimate power ilikuwa kwake in stupid African systems of governance! Akimkataa mtu amemkataa! maana anaweza kukataa kuachia madaraka na akasimama, hivyo watamkubalia chaguo lake. Sasa kwa UDHAIFU wake wakamzidi nguvu akatuletea MAUTI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…