Kama ni kurogwa Watanganyika wamerogwa na mchawi kafariki katuachia msala huu

Kazi ya watanzania ni kufuatilia ujinga ujinga tu..Na hii Simba na Yanga ni kichaka Cha kuendeleza ujinga, Ujinga kabisa huu.. Tuanze maombi makali ya kufutilia mbali huu ushabiki maandazi wa Simba na Yanga.
Na hawa bongo fleva na bongo movies ndio matakataka kabisa
 
Mwenye changamoto ni wewe mwenye uelewa kuhusu siasa na athari zake za moja kwa moja kwenye maisha ya mtanzania.

Unafahamu fika watu wengi nchini hawana uelewa mkubwa wa maswala ya kisiasa na hii inasababishwa na mifumo yetu ya maisha, sasa wewe mwenye uelewa kuhusu siasa instead of kuwaelimisha hawa wasioelewa unaanza kuwalaumu.

Kama utaendelea kuwalaumu mimi nitasema wewe ndiye umerogwa kwasababu hautumii vyema maarifa uliyonayo kwa jamii.

Toa elimu, toa elimu, toa elimu, Next time ukirudi hapa tueleze umefanikisha kushare maarifa uliyonayo kwa jamii kwa kiwango kipi na output ni ipi nasio kuwalalamikia watu wambao hawana maarifa.
 
Wakuu habari zenu hapa.

Nimekaa na kuwaza na kuangalia mambo yote ya kisiasa yanayo tendeka nchini, nimejikuta napatwa na hasira zinazokaba kabisa kwa maana hili taifa letu hususani Tanganyika watu wake sijui walilishwa nini..?

1. Inasikitisha na kusononesha unaposikiliza kauli za mkuu wa nchi. Zinatia hasira na uchungu kwa wazalendo woote wa kweli.

2. Hawa wabunge wetu waliopo bungeni hawa pia ni kama tuna wakikishwa na makopo empty pale mjengoni. Mbunge anatetea mtu na sio taifa letu. Ripoti ya CAG imetoa maelezo ya upotevu wamabilioni mengi ila yenyewe yapo yanatetea mama mama mama. WTF

3. Watanganyika wenyewe sasa hahaha ndio kichekesho zaidi hawana habari wengi wao sio wote.

4. Katiba imetupa viongozi wajinga wengi. Wajjng wakitawala basi werevu watateseka sana. Tukubaki tukatae NO REFORMS NO ELECTION ndilo suluhisho kwa sasa. Hatuwezi kuwa taifa lenye malengo makubwa kwa wabunge hawa na aina ya uongozi huu. Ni hapana kubwa

5. Wizi wa wazi mpaka mikataba inavuja watu wamechoka kuona Tanganyika inavyo tafunwa huku watu wake wakidanganywa na kauli za uzalendo kumbe wizi.

6. Mtatua kwa kusema ukweli ila.hamta ishi milele na mtakufa na mtakufa vibaya saana. Huu mwaka hatupigi kura.

7. Machawa aka majinga/mapumbavu wapo kila sehemu kila ilipo taasisi ya kiserikali chawa wao wapo na wanatetea mama ana upiga mwingi. Sijhi anaupiga mwingi kwa uchafu na wizi.

8. Rasilimali za vizazi na vizazi vya Tanganyika zinauzwa na mzanzibar alafu wabunge wa Tanganyika wapo tu wanasifia haki tumerogwa wakuuu.

9. Ushauri tumieni busara tupate njia bora ya kuondokana na huu unyang'anyi. Na kama hauna sira na uwezo wa kuongoza ruhusu wananchi wachague wamtakae sio ulazimishe.
Hatukutaki katukutaki hatukutaki wamesikika wazee wa hapa kanda ua ziwa.

10. Tutahubiri NO REFORMS NO ELECTION kwa watanganyika wote. Tutachangia CHADEMA sawa tu tumeamua. Bora tuichangie CHADEMA na sio kuendelea kudanganywa na majizi (in magu voice) japo nayeye alikuaga jizi lao kubwa.

11. Sitakaa nopige kura tena nimepiga kura 2015 tu na nilimchagua Lowasa ila mkaiba. Saivi silotezi muda wangu tena.

NO REFORMS NO ELECTION
FREE TUNDU LISSU
STOP MISUSES OF OUR NATIONAL RESOURCES/FUNDS

NB
mode msifute uzi wangu
Ulianza vyema lkn 8 umekengeuka.
 
Attachments

  • FB_IMG_1702085740919.jpg
    FB_IMG_1702085740919.jpg
    1.6 KB · Views: 15
  • downloadfile.png
    downloadfile.png
    290.1 KB · Views: 14
Mwenye changamoto ni wewe mwenye uelewa kuhusu siasa na athari zake za moja kwa moja kwenye maisha ya mtanzania.

Unafahamu fika watu wengi nchini hawana uelewa mkubwa wa maswala ya kisiasa na hii inasababishwa na mifumo yetu ya maisha, sasa wewe mwenye uelewa kuhusu siasa instead of kuwaelimisha hawa wasioelewa unaanza kuwalaumu.

Kama utaendelea kuwalaumu mimi nitasema wewe ndiye umerogwa kwasababu hautumii vyema maarifa uliyonayo kwa jamii.

Toa elimu, toa elimu, toa elimu, Next time ukirudi hapa tueleze umefanikisha kushare maarifa uliyonayo kwa jamii kwa kiwango kipi na output ni ipi nasio kuwalalamikia watu wambao hawana maarifa.
Unamwelewesha mbunge au waziri na ana kuteka na kukuua. Hembu kaa kwa kutulia na waza tena. Hawa wakuelewesha ndio machawa kabisa na sifu na kuabudu mtu mmoja. Nchi ina wahitimu wa vyuo ila haina wasomi wa kulikomboa taifa
 
Wakuu habari zenu hapa.

Nimekaa na kuwaza na kuangalia mambo yote ya kisiasa yanayo tendeka nchini, nimejikuta napatwa na hasira zinazokaba kabisa kwa maana hili taifa letu hususani Tanganyika watu wake sijui walilishwa nini..?

1. Inasikitisha na kusononesha unaposikiliza kauli za mkuu wa nchi. Zinatia hasira na uchungu kwa wazalendo woote wa kweli.

2. Hawa wabunge wetu waliopo bungeni hawa pia ni kama tuna wakikishwa na makopo empty pale mjengoni. Mbunge anatetea mtu na sio taifa letu. Ripoti ya CAG imetoa maelezo ya upotevu wamabilioni mengi ila yenyewe yapo yanatetea mama mama mama. WTF

3. Watanganyika wenyewe sasa hahaha ndio kichekesho zaidi hawana habari wengi wao sio wote.

4. Katiba imetupa viongozi wajinga wengi. Wajjng wakitawala basi werevu watateseka sana. Tukubaki tukatae NO REFORMS NO ELECTION ndilo suluhisho kwa sasa. Hatuwezi kuwa taifa lenye malengo makubwa kwa wabunge hawa na aina ya uongozi huu. Ni hapana kubwa

5. Wizi wa wazi mpaka mikataba inavuja watu wamechoka kuona Tanganyika inavyo tafunwa huku watu wake wakidanganywa na kauli za uzalendo kumbe wizi.

6. Mtatua kwa kusema ukweli ila.hamta ishi milele na mtakufa na mtakufa vibaya saana. Huu mwaka hatupigi kura.

7. Machawa aka majinga/mapumbavu wapo kila sehemu kila ilipo taasisi ya kiserikali chawa wao wapo na wanatetea mama ana upiga mwingi. Sijhi anaupiga mwingi kwa uchafu na wizi.

8. Rasilimali za vizazi na vizazi vya Tanganyika zinauzwa na mzanzibar alafu wabunge wa Tanganyika wapo tu wanasifia haki tumerogwa wakuuu.

9. Ushauri tumieni busara tupate njia bora ya kuondokana na huu unyang'anyi. Na kama hauna sira na uwezo wa kuongoza ruhusu wananchi wachague wamtakae sio ulazimishe.
Hatukutaki katukutaki hatukutaki wamesikika wazee wa hapa kanda ua ziwa.

10. Tutahubiri NO REFORMS NO ELECTION kwa watanganyika wote. Tutachangia CHADEMA sawa tu tumeamua. Bora tuichangie CHADEMA na sio kuendelea kudanganywa na majizi (in magu voice) japo nayeye alikuaga jizi lao kubwa.

11. Sitakaa nopige kura tena nimepiga kura 2015 tu na nilimchagua Lowasa ila mkaiba. Saivi silotezi muda wangu tena.

NO REFORMS NO ELECTION
FREE TUNDU LISSU
STOP MISUSES OF OUR NATIONAL RESOURCES/FUNDS

NB
mode msifute uzi wangu
Ujumbe wako ni mzuri ila umetumia hasira sana na chuki kutufikisha...acha tabia za kibaguzi basi
 
Back
Top Bottom