Kama ni kweli Barbara alisaini na Azam mbona hawaonyeshi huko Rabat?

Kama ni kweli Barbara alisaini na Azam mbona hawaonyeshi huko Rabat?

Azam TV wana umuhimu sana kwenye content za mpira wetu, tuende mbele, turudi nyuma ukweli lazima usemwe

Yanga wanapata coverage kubwa now kutoka Azam na ni haki mashabiki kujua kinachoendelea katika kambi ya timu yake
Nasikia walito pesa kidogo ukilinganisha ukubwa wa simba.
 
We kajamaa unajifanyaga shushushu wa soka.
Lakini kiukweli huo ni umbea.
Vipi mkataba ukija kuoneshwa mbeleni, labda ni kwa ajili ya mechi za ligi tu?

Utakimbia kama kawaida yako.
We mjinga kama walishasaini mwaka mzima ilitakiwa contents za moroko ziruke au hujui hilo
 
We mjinga kama walishasaini mwaka mzima ilitakiwa contents za moroko ziruke au hujui hilo
Hapa ndipo tatizo lako lilipo., ujuaji kujifanya unajua vitu vya watu.
Mkataba ni siri umejuaje hiyo "ilitakiwa" wewe kama nani hapo simba au azam?
Wataprove wenyewe kama ni kweli au uongo sio kutuletea umbea hapa.

Halafu vipi djuma shaban mpka sasa hajamaliziwa pesa?
Unaona upumbavu wako ulipo?
 
Back
Top Bottom