Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Timu kubwa duniani hazioneshagi training sessions zao. Labda baada ya kuwa zimechujwa.Azam TV wana umuhimu sana kwenye content za mpira wetu, tuende mbele, turudi nyuma ukweli lazima usemwe
Yanga wanapata coverage kubwa now kutoka Azam na ni haki mashabiki kujua kinachoendelea katika kambi ya timu yake