njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Azam na Mohamed Enterprises ni wapinzani wa kibiashara.Kitendo cha Azam Tv kumpa airtime yule punguani kutukana Simba na mwekezaji kinanipa maswali mpaka leo. Sijui wabongo tunakwama wapi. brand kubwa kama Azam inawezaje kufanya vile
Nasikia walikatisha matangazo wakati akiwa live.Azam na Mohamed Enterprises ni wapinzani wa kibiashara.
Nasikia walito pesa kidogo ukilinganisha ukubwa wa simba.Azam TV wana umuhimu sana kwenye content za mpira wetu, tuende mbele, turudi nyuma ukweli lazima usemwe
Yanga wanapata coverage kubwa now kutoka Azam na ni haki mashabiki kujua kinachoendelea katika kambi ya timu yake
MO dewji automatically ana jealous sana na Azam Bakhresa kutokana na ile biashara wanazozifanya kwa kuingiliana hasa vinywajiNasikia walito pesa kidogo ukilinganisha ukubwa wa simba.
si washindane kibiashara,kuchukua watu kutukana sio sawaAzam na Mohamed Enterprises ni wapinzani wa kibiashara.
Nasimama na lililokuwa na semaji la dunia..
We mjinga kama walishasaini mwaka mzima ilitakiwa contents za moroko ziruke au hujui hiloWe kajamaa unajifanyaga shushushu wa soka.
Lakini kiukweli huo ni umbea.
Vipi mkataba ukija kuoneshwa mbeleni, labda ni kwa ajili ya mechi za ligi tu?
Utakimbia kama kawaida yako.
Hapa ndipo tatizo lako lilipo., ujuaji kujifanya unajua vitu vya watu.We mjinga kama walishasaini mwaka mzima ilitakiwa contents za moroko ziruke au hujui hilo
Ukubwa wa simba mnaousema ck zote ni upi?Nasikia walito pesa kidogo ukilinganisha ukubwa wa simba.
Cc tunataka ubingwa hizo coverage wapewe uto tuAzam TV wana umuhimu sana kwenye content za mpira wetu, tuende mbele, turudi nyuma ukweli lazima usemwe
Yanga wanapata coverage kubwa now kutoka Azam na ni haki mashabiki kujua kinachoendelea katika kambi ya timu yake
Mechi zenu zote si mmeamishia DSTV? Sasa kelele za nini.Lopolopo Hajj Manara lilidai lina mkataba wa simba milion 384 kwa mwaka kuonyesha contents za simba huko Azam TV.
Cha kushangaza ni contents za utopolo ndizo zinaonyeshwa huko Morocco ina maana hela yao imeliwa bure?
Kuipeleka Yanga CAF championship.Ukubwa wa simba mnaousema ck zote ni upi?