Uchaguzi 2020 Kama ni kweli basi Kamati ya Roho Mbaya ya CCM hasa Jimbo la Kigamboni mkimaliza Kumlima Mtu mnione

Mimi namuombea AWE MBUNGE aaamin,uspika kwa muda huu abaki nao mh.Ndugai,aaaamin rabbil aaalamin🤲🤲🤲🤲
Kiukweli kutoka ndani ya vilindi vya Moyo wangu nafarijika Sana kuona makonda anenda kuwa mbunge wangu na spika mpya wa bunge la Tz.
 
Mungu mwenyezi ASIYAPOKEE uyaombayo,aaamin aaaamin
 
👍👍👍👍👍
 
👏👏👏👏
 
Mleta mada jiandae kuaibika Kama ulivyoaibika kwa kumponda Hussein Mwinyi halafu ukajitia kurudi kinafiki kusema ohh nampongeza kwa kuchaguliwa kwa ID yako ile ingine.Makonda atashinda Dua zenu Ni za kuku

Aaamin rabbil aaalamin.🤲🤲🤲
 
Ukisikia majungu mengi yasiyokuwa na msingi, huwezi kukosa kutambua jungu kama hili.
 
Mzukulu kama umezaliwa mwaka 1982 uwe unaridhika na unachokipata.
Hii kauli alipotamka Mzee baba nikakimbilia kucheck Cv ya jamaa flani mara pa 1982 nikasema ya aliyekua anaapishwa amezaliwa lini? Bahati mbaya sikuwa na CV ya muapishwa basi nikabaki na maswali mengi je mzee baba anamuongelea former RC au.
 
Ni kweli lakini linaweza kuwa na MWISHO MZURI kwa hiyo matumaini makubwa bado yapo maana Chama kina utaratibu kilichojiwekea wa kumpendekeza yeyote bila kujali matokea ndo maana majina ya wote walishiriki lazima yapelekwe mbele kuvipa Vikao vya juu Uhuru wa kumpendekeza wampendae. Kuna mifano hai mingi huu wa mtia nia aliyekuwa wa nne vikao vya chini alipendekezwa kugombea baada ya wa kwanza, wa pili na wa tatu wakitupiliwa mbali na aliyepitishwa alichaguliwa na kupewa Uwaziri. Kwa hiyo tujiandae kisaikolojia wakati ukifika wa wateule wote walioacha kazi zao kukimbilia Ubunge wakapitishwa kugombea, watakao chaguliwa kupewa vyeo vikubwa zaidi kuliko walivyovikimbia na wale watakaoshindwa watapangiwa kazi nyingine. Tutaona mengi Uchaguzi ujao!
 
Huwezi ukatenganisha tv na remote hizo Ni sarakasi.Chai bila sukari si chai tena.

Unaweza kutenganisha TV na remote halafu ukaendelea na programs manually na ndivyo wengi tunakoelekea kufahamu hivyo japokuwa wengine wataamini kuwa sasa TV bila remote haiwezi kufanya kazi tena kumbe sio bali ni danganya toto!
 
Haahaa nimekacheka Sana kusikia hili neno,"Kamati ya roho mbaya"
Mimi nasubiri nione Kama Ni kweli mtoto mpendwa atakatwa!
 
Wewe Ni mpiga Ramli Kama waganga wengine was Hadi tu.


Si uliandika akichaguliwa Hussein Mwinyi Kama mgombea Zanzibar nchi itawaka Moto , wewe ni kukupuuza tu huna unalojua.
Mkuu weka huo uzi hapa!
 
Sio kweli acha kuota ndoto za mchana za kutuhadaa wenye akili.
Kwani "Mteuaji" anashindwa nn kumfutilia mbali "mpuuzi" wako bila kupitia njia ndefu?
Kwa wengine waliokuwa hawatakiwi waliondolewa bila mchakato wowote,yeye ni nani afanyiwe mchakato mrefu hivyo?
Acha ramli
 
Kabisa yaani hivi sasa nadhani kitu kinachomumizaa Ridhiwani kumpa pande Bashite tena kipindi kile cha lala salamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…