Kama ni kweli basi ushindi wao hauna maslahi zaidi ya kupata jina tu!

Kama ni kweli basi ushindi wao hauna maslahi zaidi ya kupata jina tu!

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Ramadhani Brothers washindi wa AGT wamekatwa zaidi ya asilimia 70 kwenye pesa walizoshinda kwenye mashindano ya AGT.

Ukipiga hesabu za haraka ni kwamba hawa jamaa wamebakiwa na hela ndogo sana baada ya makato mbalimbali waliyokatwa kwenye zawadi yao.

20240323_113228.jpg


✍️Mjanja M1
 
Waombe tu kupitia Wizara ya Michezo na Wizara Fedha iwape msamaha wa kodi kwa vile wanakuza vipaji na kuitangaza nchi.

Ni approach tu inatakiwa badala ya KUINANGA Serikali kuwa inakata 40% (kitu ambacho bado sikiamini kama ni 40%), wawatumie mawaziri wa hizi sekta 2 wapunguziwe makato hayo.

Hiyo 37% ya nje hatuna uwezo nayo
 
Back
Top Bottom