Waombe tu kupitia Wizara ya Michezo na Wizara Fedha iwape msamaha wa kodi kwa vile wanakuza vipaji na kuitangaza nchi.
Ni approach tu inatakiwa badala ya KUINANGA Serikali kuwa inakata 40% (kitu ambacho bado sikiamini kama ni 40%), wawatumie mawaziri wa hizi sekta 2 wapunguziwe makato hayo.
Hiyo 37% ya nje hatuna uwezo nayo