Nimesoma na kupokea kwa masikitiko taarifa ya kuzuiwa kuingia uwanjani kuangalia mechi ya leo Barbara Gonzales CEO wa Simba.
Kusema kweli niliaminishwa shuleni kwamba wazungu walituita Waafrika (washenzi) yaani watu wasio wastaarabu kuwa walitunyanyasa kwa kutuita hivyo.
Ila nimejifunza na kujiridhisha sana kwamba sisi watu weusi ni kweli ni "washenzi"
Huwezi kutarajia jambo kama hilo kufanywa na watu ninaoamini angalau wanajua kusoma na kuandika, tena wamepewa dhamana kubwa namna hiyo.
Jambo hili halipaswi kuvumiliwa na mambo kama haya ndiyo yanazaa viongozi wanaoweza kuyazuia kwa namna ile ile ya kishenzi.