redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Watoto hawaitaji kadi za kuingilia na lile ni eneo maalumu la VVIP uwezi kuleta watoto wako. Kwani ao VVIP wengine awakua na watoto wao?
Kitendo Cha kuchukua kadi za mwaliko za VVIP na badala ya kuwapa viongozi waandamizi au wanachama wenye sifa iyo na kuzitumia kwaajili ya watoto wako iyo tafsiri yake ni dharau na ubinafsi kwa aliyetoa izo kadi maalumu.