Sababu za kumzuia umezisoma kwenye bandiko la bodi ya ligi au unakurupuka tu, kasome kwanza hilo bandiko ndo uje apa kulalamikaNimesoma na kupokea kwa masikitiko taarifa ya kuzuiwa kuingia uwanjani kuangalia mechi ya leo Barbara Gonzales CEO wa Simba.
Kusema kweli niliaminishwa shuleni kwamba wazungu walituita Waafrika (washenzi) yaani watu wasio wastaarabu kuwa walitunyanyasa kwa kutuita hivyo.
Ila nimejifunza na kujiridhisha sana kwamba sisi watu weusi ni kweli ni "washenzi"
Huwezi kutarajia jambo kama hilo kufanywa na watu ninaoamini angalau wanajua kusoma na kuandika, tena wamepewa dhamana kubwa namna hiyo.
Jambo hili halipaswi kuvumiliwa na mambo kama haya ndiyo yanazaa viongozi wanaoweza kuyazuia kwa namna ile ile ya kishenzi.
Sababu za kumzuia umezisoma kwenye bandiko la bodi ya ligi au unakurupuka tu, kasome kwanza hilo bandiko ndo uje apa kulalamika
Nimesoma na kupokea kwa masikitiko taarifa ya kuzuiwa kuingia uwanjani kuangalia mechi ya leo Barbara Gonzales CEO wa Simba.
Kusema kweli niliaminishwa shuleni kwamba wazungu walituita Waafrika (washenzi) yaani watu wasio wastaarabu kuwa walitunyanyasa kwa kutuita hivyo.
Ila nimejifunza na kujiridhisha sana kwamba sisi watu weusi ni kweli ni "washenzi"
Huwezi kutarajia jambo kama hilo kufanywa na watu ninaoamini angalau wanajua kusoma na kuandika, tena wamepewa dhamana kubwa namna hiyo.
Jambo hili halipaswi kuvumiliwa na mambo kama haya ndiyo yanazaa viongozi wanaoweza kuyazuia kwa namna ile ile ya kishenzi.
Sababu za kumzuia umezisoma kwenye bandiko la bodi ya ligi au unakurupuka tu, kasome kwanza hilo bandiko ndo uje apa kulalamika
Uwezi kuchukua kadi za mwaliko wa kukaa eneo la VVIP zilizo tolewa na Tff ukawapa watoto wako wakati zile ziliwahusu watu maalumu. Icho nikitendo Cha ubinafsi wa Hali ya juu na hakikubaliki. Ata Kama wewe unamahusiano na mwekezaji wa Timu husika.