Umemjibu vizuri maana uyo babra anatafuta huruma wakati yeye ndo kafanya mambo ya ovyo, alafu anajificha kwenye kichaka cha mambo ya gsm na tff, uyu binti ni mpumbavu anataka umaarufu kila eneo sasa wamemkomeshaWatoto hawaitaji kadi za kuingilia na lile ni eneo maalumu la VVIP uwezi kuleta watoto wako. Kwani ao VVIP wengine awakua na watoto wao?
Kitendo Cha kuchukua kadi za mwaliko za VVIP na badala ya kuwapa viongozi waandamizi au wanachama wenye sifa iyo na kuzitumia kwaajili ya watoto wako iyo tafsiri yake ni dharau na ubinafsi kwa aliyetoa izo kadi maalumu.
TFF wapumbavu ,mechi ya Simba halafu ndo yuko nyumbani halafu Babra ahitaji mwaliko tena?akili za wapi hizoUmesoma taarifa ya TFF?
Mfundisheni huyo mwanamke kuheshimu utaratibu aache kuamini kwamba kila sehemu atakuwa maarufu
mi naona tuingie hata nusu mashindano ya kimataifa ndo heshima zaidi ,hizi michezo na kina yanga tuchulie kama tunacheza na timu za dondoni wakati wa simba kuonyesha ukubwa wake
walishakula rushwa ya GSM watarudishaje mpango umebumaWanahasira ya kukosa Mshiko wa GSSM.
Wakati Mkataba ni kati ya TFFF na GSSM tu.
Sijui Simba wanahusika nini hapo.
Alicho fanya Barbara ni ushamba na ulimbukeni ata Kama una mahusiano na mwekezaji wa iyo timu. Zile tiket za VVIP Tff uzitoa kwa kila timu free inayocheza mechi Ile kwaajili ya baadhi ya staff wa Timu au watu mnao ona Wana sifa iyo kwenye timu yenu.Sio Uhuni tu, ni Unyanyasaji wa Jinsia vile vile
Basi wajumbe wa TFF mumsamehe yule Dada ni msomi na NI mgeni ktk tasnia ya kandanda lkn ana impact kubwa ....Alicho fanya Barbara ni ushamba na ulimbukeni ata Kama una mahusiano na mwekezaji wa iyo timu. Zile tiket za VVIP Tff uzitoa kwa kila timu free inayocheza mechi Ile kwaajili ya baadhi ya staff wa Timu au watu mnao ona Wana sifa iyo kwenye timu yenu.
Alicho fanya Barbara kuja na watoto wake na kuingianao kupitia ticket zile ni aibu Kama kiongozi.
CEO wa Makolo hana nidhamu, anatukana na kutupa kadi, TFF chukueni hatua atazoea.Nimesoma na kupokea kwa masikitiko taarifa ya kuzuiwa kuingia uwanjani kuangalia mechi ya leo Barbara Gonzales CEO wa Simba.
Kusema kweli niliaminishwa shuleni kwamba wazungu walituita Waafrika (washenzi) yaani watu wasio wastaarabu kuwa walitunyanyasa kwa kutuita hivyo.
Ila nimejifunza na kujiridhisha sana kwamba sisi watu weusi ni kweli ni "washenzi"
Huwezi kutarajia jambo kama hilo kufanywa na watu ninaoamini angalau wanajua kusoma na kuandika, tena wamepewa dhamana kubwa namna hiyo.
Jambo hili halipaswi kuvumiliwa na mambo kama haya ndiyo yanazaa viongozi wanaoweza kuyazuia kwa namna ile ile ya kishenzi.
Huyo CEO wa Makolo hana nidhamu, anataka kuigeuza TFF kuwa ya Familia ya Dewji, kama alivyoigeuza Simba kuwa timu ya familia ya Dewji. Hatua zichukuliwe, asiachwe tazoea.Kama wamemzuwia kweli wamefanya Jambo la maana,haiwezekani watu wanahaha kutafuta wawekezaji kwenye mpira ili kuuboresha,we unaleta wakingese ngese,wamzuwie ligi yote
Watu dizaini yako uwa nawaona kama mashoga na wajinga,kiujumla sipati jina maalumu linalo wastahili,ila aliewaita utopolo na yule aliewaita nyani hakukosea.Alicho fanya Barbara ni ushamba na ulimbukeni ata Kama una mahusiano na mwekezaji wa iyo timu. Zile tiket za VVIP Tff uzitoa kwa kila timu free inayocheza mechi Ile kwaajili ya baadhi ya staff wa Timu au watu mnao ona Wana sifa iyo kwenye timu yenu.
Alicho fanya Barbara kuja na watoto wake na kuingianao kupitia ticket zile ni aibu Kama kiongozi.
Mkuu umekomaa na mahusiano ya watu unataka upigwe pumbu weweAlicho fanya Barbara ni ushamba na ulimbukeni ata Kama una mahusiano na mwekezaji wa iyo timu. Zile tiket za VVIP Tff uzitoa kwa kila timu free inayocheza mechi Ile kwaajili ya baadhi ya staff wa Timu au watu mnao ona Wana sifa iyo kwenye timu yenu.
Alicho fanya Barbara kuja na watoto wake na kuingianao kupitia ticket zile ni aibu Kama kiongozi.
Hata utopolo wenzako wanalaani hicho kitendo,, wewe ni utopolo yupi???Huyo CEO wa Makolo hana nidhamu, anataka kuigeuza TFF kuwa ya Familia ya Dewji, kama alivyoigeuza Simba kuwa timu ya familia ya Dewji. Hatua zichukuliwe, asiachwe tazoea.
Wewe tukana tusi lolote Ila uwo ndio ukweli, Barbara kuwa na Mahusiano na MO hakumfanyi yeye kuwa juu ya Taratibu zilizo wekwa na waratibu wa Mchezo. Mambo Kama ayo ya kuwaburuza watendaji anaweza kuya fanya ndani ya Simba sio nje ya Simba.Watu dizaini yako uwa nawaona kama mashoga na wajinga,kiujumla sipati jina maalumu linalo wastahili,ila aliewaita utopolo na yule aliewaita nyani hakukosea.
VVIP tickets zinatolewa na TFF ni kwa ajili ya maofisa wa bodi na kamati tendaji tu, kama umekuja na ndg zako wengine basi nenda kawakatie tickets nyingineTFF watuambie pia nafasi za watoto kuja viwanjani ni zipi?
Kama walikuwa na tiketi bila kujali uwepo wa majina yao ilikuwa inaleta athari gani kwa wao kuingia VVIP?
Hili TFF kupitia bodi ya ligi wamejivua nguo kuweka bifu na Simba.
CEO tena wa timu kubwa ambayo ndiyo mwenyeji wa mchezo. Hata kama kulikuwa na gaps, wao kama wasimamizi wa mchezo walipaswa "kumaccomodate" jambo lipite.
Hiki kisasi walichokifanya,nadhani timing imekuwa mbovu sana,ukizingatia wametoka kusigana kwenye mambo ya wadhamini.