Kama ni kweli CHADEMA hawajatumia hata shilingi moja ya ruzuku itokanayo na wabunge 19 basi wamekomaa kisiasa

Kama ni kweli CHADEMA hawajatumia hata shilingi moja ya ruzuku itokanayo na wabunge 19 basi wamekomaa kisiasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kwanza kabisa nitoe pongezi za awali kama ni kweli CHADEMA haijagusa ruzuku itokanayo na wabunge 19 wa viti maalumu kwa kuamini wale siyo wabunge halali.

Hapo CHADEMA inaweza kujitofautisha na ACT wazalendo kwa ukomavu na kujiamini.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwanza kabisa nitoe pongezi za awali kama ni kweli Chadema haijagusa ruzuku itokanayo na wabunge 19 wa viti maalumu kwa kuamini wale siyo wabunge halali.

Hapo Chadema inaweza kujitofautisha na ACT wazalendo kwa ukomavu na kujiamini.

Maendeleo hayana vyama!

Kama una ushahidi wa transactions za account yao weka wazi Bwashee.
 
Ruzuku haitokani na wabunge viti maalumu walioko bungeni!!!!!!Ruzuku hutokana na asilimia za kura za urais chama kilizopata!
 
Ruzuku haitokani na wabunge viti maalumu walioko bungeni!!!!!!Ruzuku hutokana na asilimia za kura za urais chama kilizopata!
Ndio nimemuuliza huyo Bavicha mwenzio Babati mwaka 2015 CUF ilipata kura ngapi (%) za urais?

Maana ilikuwa ya 3 kwa kupata ruzuku kubwa.
 
Back
Top Bottom