Kama ni kweli CHADEMA hawajatumia hata shilingi moja ya ruzuku itokanayo na wabunge 19 basi wamekomaa kisiasa

Kama ni kweli CHADEMA hawajatumia hata shilingi moja ya ruzuku itokanayo na wabunge 19 basi wamekomaa kisiasa

Jombaa, magu hateui Tena! Jana kakasimu mamlaka ya uteuzi kwa mkuu wa mkoa tabora hivyo Anza kujikomba kwa wakuu wa mikoa na cdm sio big issue kwa Sasa Bali makusanyo ya Kodi ndio ujikite huko!
Bwashee mimi ni mstaafu vijana kama David Silinde huu ndio wakati wao wa kushika nafasi za uongozi.

Tutaendelea kuwaibua nadhani hata J J Mnyika anastahili nafasi za chama tawala siyo ukatibu wa saccos!
 
Wanaanzaje sasa kuziacha?

Kikubwa ni kuwakumbusha kupiga rangi ofisi ya Ufipa,ni aibu makao makuu ya chama kuyaweka kwenye store ya kutunzia marobota ya mtumba.
 
Yohana Mbatizaji. Je kuiongoza Tanzania na watu wake si ni kazi rahisi pia?,,, Wataanza ia watu wake amani, wametuliaa, tuliiiiiii
Urais siyo kazi ya kukimbilia bwashee.

Kiongozi wa nchi huletwa na Mungu!
 
Urais siyo kazi ya kukimbilia bwashee.

Kiongozi wa nchi huletwa na Mungu!
Yohana Mbatizaji. Mfano ikitokea Shindano la Afrika kwa Maraiisi was Afrika kugombania nchi ya kuiongoza katika Afrika, hudhani kuwa Tanzania itachukua nafasi ya kwanza kutokana na utulivu na unyenyekevu wa sisi raia wa Tanzania. Yaani tumetulia tuliiii,
 
Kwani wewe hukuwapigia kura hao Covid 19 majimboni!
Mi niliwapigia wa ccm. Lkn elewa ruzuku ailetwi na hao viti maalum. Ndo maana unaona cdm hawana hofu nao. Ingekuwa wanaleta ruzuki cdm wanavyopenda hela siku ileile wanavyoapishwa ccm ungewaona na cdm.
 
Kwanza kabisa nitoe pongezi za awali kama ni kweli CHADEMA haijagusa ruzuku itokanayo na wabunge 19 wa viti maalumu kwa kuamini wale siyo wabunge halali.

Hapo CHADEMA inaweza kujitofautisha na ACT wazalendo kwa ukomavu na kujiamini.

Maendeleo hayana vyama!
Kumbe wewe kilaza ndiyo maana unatujazia server na nyuzi na post zako za kijuha. Ruzuku haitokani na wabunge wa viti maalum bali hutokana na kura za Urais na idadi ya wabunge wa kutoka majimboni, na kinyume chake idadi ya wabunge wa viti maalum ndiyo hutokana na kura za Urais.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ruzuku haitokani na idadi ya wabunge inatokana kama mmepata 5% ya kura za Rais, sijui upo nchi gani?
Tuonyeshe kifungu hicho cha katiba, vinginevyo ni utoporo tu.

2: kwa hiyo mnatambua kuwa ushindi wa magufuli ni halali na nyie mlifikisha zaidi ya hiyo % 5? Na kama hamkubali ushindi huo kwa nini mkubali hiyo % ili mpate ruzuku?

Lete majibu hayo mawili zidi ya hapo ni njaa inawasumbua mkikubali kula ruzuku kwa namna yoyote.
 
Jombaa, magu hateui Tena! Jana kakasimu mamlaka ya uteuzi kwa mkuu wa mkoa tabora hivyo Anza kujikomba kwa wakuu wa mikoa na cdm sio big issue kwa Sasa Bali makusanyo ya Kodi ndio ujikite huko!
Jibu zuri sana
 
Bwashee mimi ni mstaafu vijana kama David Silinde huu ndio wakati wao wa kushika nafasi za uongozi.

Tutaendelea kuwaibua nadhani hata J J Mnyika anastahili nafasi za chama tawala siyo ukatibu wa saccos!
Kwahiyo yale mabirika uliyokuwa unatumia kuuza chai pale Mwanza Railway station nayo bado upo nayo?
 
Huyo hana lolote ajuwalo zaidi ya kupayuka tu jf ili ajiingizie kipato cha buku saba
Mkuu lakini hata hiyo ruzuku ya % za urais si imepatikana kwenye uchaguzi ambao amuutambui,inakuaje % za kura mlizopata kwenye uchaguzi mnaodai aukua wa haki mnachukua ruzuku halafu wabunge amuwatambui!
 
Wewe kamwe huna haki yoyote ile ya kuwapangia CHADEMA nini wafanye na kupi wasifanye.

Kama mnawahitaji hao wabunge chukueni tu maana tulishawatimua kutoka kwenye chama chetu pendwa CHADEMA.
 
Wewe kamwe huna haki yoyote ile ya kuwapangia CHADEMA nini wafanye na kupi wasifanye.

Kama mnawahitaji hao wabunge chukueni tu maana tulishawatimua kutoka kwenye chama chetu pendwa CHADEMA.
Mkuu wala sina chama, kinachonishangaza ruzuku za kura za mgombea urais mnachukua halafu wakati huo huo mnapinga uchaguzi uliofanya mkapata hizo % ya kua aukua wa haki,uchaguzi aukua wa haki lakini pesa mnachukua nq covid 19 waliopatikana na kutokana kura mlizopata amuwatambui!nonsese
 
Back
Top Bottom