Kama ni kweli CHADEMA hawajatumia hata shilingi moja ya ruzuku itokanayo na wabunge 19 basi wamekomaa kisiasa

Kama una ushahidi wa transactions za account yao weka wazi Bwashee.
Malipo ya serikali yapo wazi ofisi ya Paymaster General lakini sio busara hata kidogo kuweka public masuala ya malipo ya pesa.

Hii ni privileged information. John Mbatizaji sio ethical kuweka wazi public hata kama unafahamu.
 
Msimlazimishe mgawa Ruzuku, Msajili wa vyama, atoke kuongea
 
Wabunge wa viti maalumu hawana ruzuku mkuu. Ruzuku inatokewakutokana na wabunge wa kuchaguliwa. Chukua elimu hiyo!
 
Ruzuku ni mali ya dikteta au ni kodi za watanzania? kwa hiyo ukifungwa kwa uonevu utagoma kula kisa umefungwa kwa uonevu?
 
Sasa kama hata mambo madogo tu ya ruzuku huyajui unafanya nini hapo Ufipa?

Nyie ndio mh Naibu waziri Katambi aliwaita " Bavicha makarai"
Ila mkuu tuwe wakweli,ktk kujenga hoja ww ni low sana.umekaa kiumbea mbea,udaku so udaku.Sijui hata mkeo km unae anamudu vipi kuishi na mwanamme mbea. Mtu usiyejua hata mambo ya msingi,ya maana muda wote ni mtu wa hoja nyepesi nyepesi. Upuuzi upuuzi tu.

Inaonekana Ni mtu mwenye hali ngumu sana kimaisha.hata maji ya kunywa yaliyo safi tu ni shida achilia mbali mlo wa siku.Ninakufahamu sana.
 
Hela ya ruzuku hutokana na idadi yakura au idadi ya wabunge?Naomba ujibu kwa reference,siyo kukariri.
 
Huwa najitahidi kukuamini hata unapocheza nje ya mstari. Aliyekwambia Ruzuku inatokana na Wabunge wa viti maalum ni nani?
 
Hawana ukomavu wowote...hakuna baunsa mbele ya njaa
 
Ruzuku ni mali ya dikteta au ni kodi za watanzania? kwa hiyo ukifungwa kwa uonevu utagoma kula kisa umefungwa kwa uonevu?
Hata uchaguzi pamoja na bunge ni vitu ambavyo vipo kikatiba na si mali wala matakwa ya Dikteta.
 
Nimegoogle na kukuta taarifa hiyo iliyoandikwa na gazeti la mwananchi kwamba kufuata ile hamahama CCM iliongeza ruzuku kea takriban one billion. Kweli kwamba Wabunge nao huchangia ruzuku inayopatikana chamani
 

Attachments

  • Screenshot_2020-12-29-17-10-37-79.jpg
    102.6 KB · Views: 2
Nimegoogle na kukuta taarifa hiyo iliyoandikwa na gazeti la mwananchi kwamba kufuata ile hamahama CCM iliongeza ruzuku kea takriban one billion. Kweli kwamba Wabunge nao huchangia ruzuku inayopatikana chamani
Hiyo ruzuku inayoongelewa hapa ni wabunge wa kutoka majimboni wale waliokuwa wananunuliwa kama njugu na siyo hao wa viti maalum.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…