Kama ni kweli hawa wasanii wanapelekwa Dubai kwa mission maalum Dubai Port, hakika inafikirisha!

Nchi ina wapumbavu wengi hii
 
Nafikiri huu ndio mwisho wa chama cha mapinduzi hawana nafasi tena ya kuendelea kutawala Tz. Tanzania ni kubwa kuliko fisiemu. 2025 tunawatoa madarakani
 
TANGU LINI CCM WANAMASIKIO?
 
Unaandika andika sana afu hakuna kitu
 
HAPANA!

Tunao wajibu wa kuelimishana na kukumbushana ndugu yangu.

Huenda (kama ni kweli) ndugu zetu hao wanalipwa kwa minajili hiyo. Lakini swali ni je vipi kuhusu vizazi vyao vijavyo?! Huoni wanajipalilia laana isiyo na ukomo?!

Naogopa!
Acha uhuni, Acha ku editi comments za watu
Paw
 
Leo unamnukuu hadi Nyerere?

Naomba nikuulize swali la kufikiri lakini naomba usijibu ni la kukufanya ufanye reflection tu.

Faiza pamoja na heshima yako ya umri na elimu ya shule hivi kweli huoni fitna ktk hili jambo?
 
Leo unamnukuu hadi Nyerere?

Naomba nikuulize swali la kufikiri lakini naomba usijibu ni la kukufanya ufanye reflection tu.

Faiza pamoja na heshima yako ya umri na elimu ya shule hivi kweli huoni fitna ktk hili jambo?
Nyerere namnukuu na kumuandika sana, hata nyuzi zake nimefunguwa.


Naiona fitna kubwa sana. Lakini sistuki sana kwa hilo, kwa kuwa Uislam umeshaliandika kwenye Qur'an. Fitna kubwa sana ni mali. Na hii ni deal ya karne, ina mali nyingi sana ndani yake, kwa hiyo fitna siyo kubwa tu bali nyingi.

Licha ya hayo, pia Qur'an inatufundisha, kuwa kuna nyakati mnavipenda vitu lakini ndiyo shari yenu na kuna nyakati mnavichukia vitu lakini ndiyo kheri yenu.

Waislam tunaamini kuwa alitakalo Allah hakuna binaadam yeyote anaeweza klizuwia na pia asilolitaka, hakuna binaadam yeyote anaeweza kulifanya.


Kwa aya hizo, hakuna Muislam mwenye kuogopa kufanya chochote cha halali.
 
Ni masuala ya marketing hayo, masuala ya kulinda mwonekano chanya
 
Kumtetea mwarabu ngumu sana, naona sasa umehamia kwenye mafundisho ya Quran, kama vile hiyo Quran ndio imewafundisha kuhonga/hongwa ili mpate mnachotaka hapa duniani!.

Kwa hili la mwarabu, bibi utarukia kila tawi la kila mti, lakini mwisho wa siku, utaanguka tu.
 
Mkuu sasa hivi hakuna propaganda za kizalendo,zipo za kimaslahi ya wachache au kundi fulani,kila hatua tunayopiga tunapoteza umoja wetu unameguka ubinafsi umetamalaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…