Ningetegemea katika ziara yake Dubai angetembelea bandarini kujionea uwezo,ufanisi na kuhoji maswali na kudadisi zaidi badala yake akaishia kuendeshwa na vigari.
waAfrika tuna ubinafsi sana, imagine wanashiriki kuwauza wenzao utumwani kwa vitrip vya Dubai.., hii nguvu kubwa hivi inayotumika mjue tunakuja kuumizwa vibaya sana, maana hizi pesa lazima zirudi