Kama ni kweli haya yanayosemwa Le Mutuz badilika haraka sana

no comment maana leo umetulia umejibu kweli kama una degree# hope mabeeez hawakwepo pembeni ndio maana umekuwa kwenye kiwango chako cha ubora...ila hapo mwishoni imekuwa jasili haachi asili
 
- Ok jamani naomba niende maana niliitwa kuwa tayari kuna page 10 ndio maana nikaja, thanks guys ila mkinihitaji sipo mbali sana U know! hahahahahahahaha

Le Mutuz

King eti hapa vp mbona ulifumba macho nini kilikuwa kinaendelea hapa
 
- Ok jamani naomba niende maana niliitwa kuwa tayari kuna page 10 ndio maana nikaja, thanks guys ila mkinihitaji sipo mbali sana U know! hahahahahahahaha

Le Mutuz

Usiondoke jamani Le Mutuz ndio nafika sasa hivi
Nimeyamiss majibu yako u know....nayapenda sana u know....hahahahaaaa
 
le jingaz unakuwa unamsononesha sana mwanao uliyemtelekeza huko abroad kwa ujinga wako maana ni member hapa jf
 
no comment maana leo umetulia umejibu kweli kama una degree# hope mabeeez hawakwepo pembeni ndio maana umekuwa kwenye kiwango chako cha ubora...ila hapo mwishoni imekuwa jasili haachi asili

- Kaka wewe sio great thinker ungekuwa usingekurupuka na majungu na chuki, hao watu ninaopiga nao picha wana wafanyakazi wengi sana wa kuwasaidia kuwaambia mtu wa kuwasogelea na kutowasogelea usidhani unaweza kumaka mtu usingizini ukapiga picha na Mzee Mengi au Omar Bakhressa, kuna watu wengi wenye heshima kubwa sana na hawawezi kuwaona mimi nawaona anytime ni kwa sababu nina heshima kubwa sana na jamiii isipokuwa some mburulazzz here with no brain like you, unakwenda kuandika mpost hakuna kichwa wala miguu unaona ainu yako sasa badala ya kuomba radhi unajibaraguza wewe unaweza kusimama na mimi kwa akili mingi wewe?

- Chezeya wajinga wenzako mkuu mimi sio level yako kabisa na watu wengi wamekuwambia humu kuna watu kama Waberoya wewe unamjua ni nani in the real life? mnaruka ruka tu na maneno ya kuchafua watu wala hamuwajui sasa imagine ningekuwa siwezi kuja kujibu ingekuwaje? Wacheni haya ingawa nakushuru kwa kunipa nafasi ya kukuelimisha na wengine kama wewe le mburulazzz

Le Mutuz
 
le jingaz unakuwa unamsononesha sana mwanao uliyemtelekeza huko abroad kwa ujinga wako maana ni member hapa jf

- Nakusononesha wewe le jingaz mtoto wangu yupo College anakula Degreee sio mjinga mjinga kama wewe ok hahahahaha

Le big Show
 
- hahahahahaha Chezeya hiyo kitu natural wewe, kudadeki bonge kiss U know from mbebez wa ukweli U know I love it U know hahahahaha Chezeya wewe Adam mwenyewe alimkana Mungu hahahahaha

Le Mutuz

πŸ™πŸ˜€πŸ˜€πŸ™πŸ˜€πŸ˜€ Kweli Lemutuz haya mambo kweli haya baunsa
 
Usiondoke jamani Le Mutuz ndio nafika sasa hivi
Nimeyamiss majibu yako u know....nayapenda sana u know....hahahahaaaa

- hahahaha le mbebez mukareezzzz U know me love u Tooo baby U know hahaha, nakupenda mpaka naumwa U know

Le Mutuz
 
- hahahaha le mbebez mukareezzzz U know me love u Tooo baby U know hahaha, nakupenda mpaka naumwa U know

Le Mutuz

Hahahaaaaa itabidi nikutafute tupige selfies za kumwaga u know...ili madebe matupu yazidi kupiga kelelez u know...
Na watuwache tulale le super gadem mburulazz wasikupe headache
 
Halafu mbona anapenda kushika wanaume mabega akipiga picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…