Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Wikiendi hii...sijui anapiga selfies wapi na wabebz wa ukweli
Hahahahhaha uknw ni mapicha na mabebiz wakarez kwa kwenda mbele hahaha !!!! I like it
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wikiendi hii...sijui anapiga selfies wapi na wabebz wa ukweli
Lemutuz was a rich kid. ..grew up
As a kid from a well of family
Kwenda kupiga box states was a choice of him being a man and independent. .
Angependa kubaki bongo na kuuza sura kama kina kinje na kula hela za baba angefanya ila he chose not to..
Haya nyie mnaomponda mna maisha gani. .
Hahahahhaha uknw ni mapicha na mabebiz wakarez kwa kwenda mbele hahaha !!!! I like it
Haha haha haaaa hao wabebez ni wakarez u know...ndio maana madebe matupu yanapiga kelelez u know....
Le Mutuz,Le Temboz,jamaa mpana kama pazia la sinema....
Ahahahaaa..mishati yake kama mapazia ya yanayouzwa pale memorial..!!
Ahahahaaa..mishati yake kama mapazia ya yanayouzwa pale memorial..!!
Lemutuz was a rich kid. ..grew up
As a kid from a well of family
Kwenda kupiga box states was a choice of him being a man and independent. .
Angependa kubaki bongo na kuuza sura kama kina kinje na kula hela za baba angefanya ila he chose not to..
Haya nyie mnaomponda mna maisha gani. .
well said. ..This is the most honest
genuine comment on JF
Fanyeni na nyie muone kama
Mtaonekana
Lemutuz was a rich kid. ..grew up
As a kid from a well of family
Kwenda kupiga box states was a choice of him being a man and independent. .
Angependa kubaki bongo na kuuza sura kama kina kinje na kula hela za baba angefanya ila he chose not to..
Haya nyie mnaomponda mna maisha gani. .
Huyu Mzee ana vituko sana ukimchukia unajisumbua ana upekee sana vituko vyake huwezi kuvipata kwa mtu yeyote hapa Tanzania .....hahahaha I like it
tukiwa na wazee kama hawa watano nchi itaendelea
Ukn this is serious allegation u knw ngoja aje
ili ikusaidie nini?? utajua ya wangapi? utakuwa conncerned na maisha ya wangapi??
poteza kujifunza kuandika vizuri kwa kuweka paragrpah ..anzia hapo
hawa wengine wanaishi hivyo na wanapata fedha kwa style hiyo ya maisha
ulivyomsoma tu na kumfuatilia tayari ashalipwa kwa kupata kichwa chako
ushanisoma??
- Ahsante sana sihitaji kujibu tena, ubarikiwe mkuu sana!!, hahahahahahahahaha
Le Mutuz
Mi nauliza huyu mtu anajiita Lemutuz, kwanza kabisa umri wake, elimu yake na kazi amayofanya. Mana vitu anavyofanya, ninavyokadiria umri wake, elimu anayodai anayo, exposure anayodai anayo haviendani kabisa na mambo anayoyafanya.
Nachoshangaa anajilinganisha na watu ambao haendani nao hata kwa kitu kimoja, anadai ana Degree 3, sasa degree ni inputs you have to ultilize it to produce outputs unless otherwise ni useless, labda mi simjui vizuri kuna mtu anaweza kunisaidia huyu mtu kafanya nini tangible na kina manufaa gani kwa jamii mpaka ajilinganishe na vijana ambao kweli tunajua wanachokifanya na hata wanatoa ajira kwa vijana wengine wengi tu au ndio ameajiri mpiga picha anampiga picha za kuweka kwenye social media?
Niliona eti anauliza maswali kisha anatoa zawadi za vigauni kwa watoto wa kike. Huwa naona anapiga picha na watu kama Joseph Kusaga, Erick Shigongo, Yusuph Bhakresa, Salum Lussasi, na wengineo eti ansema ndege wa rangi moja huruka pamoja. watu hawa wamefanya vitu ambavyo vimeonekana na jamii na wamesaidia kuongeza nafasi za ajira kwa vijana kisha huyu mtu anajiita Lemutuz anajilinganisha nao sijui anafanya nini mpaka anajiilinganisha na hawa watu au ni hivyo vigauni anavyotoa zawadi, Si bora Diamond anaimba kutuburudisha na kuitangaza nchi yetu.
Kwanza anafanya kazi gani mana hayuko busy muda wote hupiga picha na watu especially watoto wa kike na watu anaotudanganya ni rafiki zake (lakini nazani wengine huomba tu kupiga nao picha mana hawaendani hata kidogo) kwenye tafrija mbalimbali zingine nazani huwa hajaalikwa pia, mana mtu huwezi kuwa na marafiki wote hawa labda huna misimamo na ni mnafiki.
Ukiongea nae sana atakuambia oooh mi baba yangu alikua balozi, alikua waziri wa mambo nje, ooh nakaa see view ambako pia nazani ni kwa baba yake hivi kweli mtu wa umri wake anapaswa kuongea hayo, niliona siku moja kapiga picha na Wema Sepetu eti anasema baba zetu walikua mabalozi tumekula wote bata osterbay sasa sijui mtu wa umri wake bado ana haja ya kujisifia kupitia baba yake badala watoto wake kujisifia kupitia jina lake, mbona baba yake kwa umri wake tayari alikua kiongozi wa nchi hii, kwa kweli huyu mtu ananishangaza sana haya mambo ni ya watoto wa miaka 16.
Sasa hivi anasema nafatilia vyeti vya Sitti Mtemvu ili avuliwe taji mi nazani kwanza tufatilie hivyo vyeti anavyodai ana degree tatu.
NAOMBENI MNISAIDIE LABDA MI SIMJUI VIZURI HUYI MTU ILA ANANISHANGAZA SANA!
Nyambaf king alafu ana 299 likes while kuna vikapurwa uku mtaan vina like 3000
Mimi nashukua commercial break kama Le Bron
- Ok walete hao vikapurwa wako wa mtaani hapa JF kama watapata hata page moja tu ya kujadiliwa na Great Thinkers, tizama limetajwa jina langu tu hapa la biashara Le Mutuz Nation tayari page 10 na viewers 13,000 wewe unachezeya Celebrity tuliza boli wewe, thank you JF 10 pages 13,000 viewers bila hata mimi mwenyewe kuwepo that is wasap maana I love it!!
Le Big Show