Kama ni kweli haya yanayosemwa Le Mutuz badilika haraka sana

Kama ni kweli haya yanayosemwa Le Mutuz badilika haraka sana

Hahahaaaa..Le mutuz ImageUploadedByJamiiForums1414885975.087090.jpg
 
Si vizuri kuwasema watu wa rika la wazazi wetu..

Le mutuz ni sawa na Baba yetu humu Jf, wengine wanatakiwa kumwita Babu humu...

Hata kama ni mburulaz lakini ni Mzee wetu, tumsitiri.

Tena siyo vizuri watu mnaposema eti shati lake linaweza kufunika Gari kama Vitz.

Hahahaha......
Nimecheka sana aisee.
 
Mkuu ni samehe sana kama na kukera!

Hivi kipimo cha uanaume kwako ni kutoandika unacho ona kinafaa?

Kuto andika kwa kuhofia wengine watasema sio mtoto wa kiume?

Kutosema kweli hata kama ni kweli?

Kutosema wazi kuwa Una wakubali au kufurahishwa na wanao kufurahisha?

Mimi mwanzo nilidhani kuwa uanaume wa mtu tunaweza kuupima hata kwenye uwezo wa kuvumilia wengine!

Mimi mwanzo nilifikiri uanaume tunaweza kuupima hata kwenye uwezo wa mtu hasa mwanaume kujiuliza mara mbili kabla ya kuandika!

Mimi nilifikiri uanaume wa mtu tunaweza kuupima hata kwenye uchaguzi wa maneno ya kuandika kwa wengine!

Samahani lakini!
nimependa ulivyo jibu.
 
Kwelii, hana shida kbsa lemutuz; ni mpambanaji
Lemutuz was a rich kid. ..grew up
As a kid from a well of family
Kwenda kupiga box states was a choice of him being a man and independent. .
Angependa kubaki bongo na kuuza sura kama kina kinje na kula hela za baba angefanya ila he chose not to..
Haya nyie mnaomponda mna maisha gani. .
 
Wacha we le supa secretary mupyaaa...mtetee bosi ..
 
Wacha we le supa secretary mupyaaa...mtetee bosi ..

Kumbe ndo secretary wakee!!haa,amekuja kasi kama kisulisuli anajaribu kudeki bahari,kamfungulia uzi babu anasema babu anachukiwa bure!Ndo maana babu kauchuna kampa nafasi secretary ajitutumue..
 
Kumbe ndo secretary wakee!!haa,amekuja kasi kama kisulisuli anajaribu kudeki bahari,kamfungulia uzi babu anasema babu anachukiwa bure!Ndo maana babu kauchuna kampa nafasi secretary ajitutumue..

Atakuwa secretary mpya tu huyu....halafu ujue babu anapenda kuzungumziwa, yani hapa akikuta tunamzungumzia roho inamsuuzikaaa....
Le super babuuu....babu yake Sitti Mtemvuu...
 
Atakuwa secretary mpya tu huyu....halafu ujue babu anapenda kuzungumziwa, yani hapa akikuta tunamzungumzia roho inamsuuzikaaa....
Le super babuuu....babu yake Sitti Mtemvuu...

Anaweza kuja mwenyewe hapa na akampaka huyo sekritari wake na mwishowe akaumbuka kabisa na akajuta kwanini alimtetea.
 
Anafanya kazi wapi huyo Babu?au anaishi kwakutia mali za Baaaa!!
 
Lemutuz was a rich kid. ..grew up
As a kid from a well of family
Kwenda kupiga box states was a choice of him being a man and independent. .
Angependa kubaki bongo na kuuza sura kama kina kinje na kula hela za baba angefanya ila he chose not to..
Haya nyie mnaomponda mna maisha gani. .
Tatizo
Unachukulia kila jambo serious! Watu wana enjoy tuu hapa na uknw Lenutuz anapo ongelewa ndio anaingiza hela hahahahaha gardem madebe matupu! Hahahaha!
 
Hahahaaaa hivi kuna mrembo ambaye hajapiga picha na Le Mutuz kweli?basi asijihesabie nae ni mrembo....

Hahahaha uknw warembo wana mgombea kupiga nae picha sababu yeye ni king of all bongo social media na ana degree tatu uknw ....super gardem madebe matupu hawamsumbui hahahahah!!!!!!
 
Back
Top Bottom