Kama ni kweli haya yanayosemwa Le Mutuz badilika haraka sana

Hahajhahahahahaha
Kweli mjeshi kambi popote

Huyu Mzee ana vituko sana ukimchukia unajisumbua ana upekee sana vituko vyake huwezi kuvipata kwa mtu yeyote hapa Tanzania .....hahahaha I like it
 
Attachments

  • 1414835995853.jpg
    1414835995853.jpg
    61.7 KB · Views: 602
Very fun sana huyu mzee umri wake na anachofanya quite different ila msishangae wana jukwaa hayo mambo ya 2015
 
Hahahaha nilijua lazima ufutwe maana kulikuwa na name calling nyingi na matusi hahahaha uknw mabebiz wakarez wanamzimikia king of all social media hahahahahaha!!!!!!! I like it

Hahahaaaa hivi kuna mrembo ambaye hajapiga picha na Le Mutuz kweli?basi asijihesabie nae ni mrembo....
 
Huyu Mzee ana vituko sana ukimchukia unajisumbua ana upekee sana vituko vyake huwezi kuvipata kwa mtu yeyote hapa Tanzania .....hahahaha I like it

Hahahaaaaa kweli Le Mutuz ni super star jamani....
 
Hahahaaaa hivi kuna mrembo ambaye hajapiga picha na Le Mutuz kweli?basi asijihesabie nae ni mrembo....

Ulisahau mwenzangu bado hajapiga nao wengine ila atahakikisha mwaka hauishi huu!,nasikia alimtafuta sana Sitti ili apige naye picha akamkosa kwa hasira ameamua amwanike wazi kuwa Sitti ana mtoto moro!
 
Hahahaaaaa subiri aje nakuambia...napenda majibu yake sana
 
King Kiba na King Lemutuz
 
Attachments

  • 1414846925541.jpg
    1414846925541.jpg
    15.1 KB · Views: 512
Ulisahau mwenzangu bado hajapiga nao wengine ila atahakikisha mwaka hauishi huu!,nasikia alimtafuta sana Sitti ili apige naye picha akamkosa kwa hasira ameamua amwanike wazi kuwa Sitti ana mtoto moro!

FYI alipiga picha na Sitti akaiweka Insta na akaifuta usiku usiku najuta siku I capture
 
Back
Top Bottom