Kama ni kweli haya yanayosemwa Le Mutuz badilika haraka sana

Why are there sick people??! That's why we can never judge another persons actions! We just don't know know what they ve been through!!!
 
Si bure Le Mutuz atakuwa anaumwa mahututi yaani hapa kuna zaidi ya page 5 lakini bado hatokei
 

Hehehegehhee le mutuz aka umaarufu mavi
 

Hahahaaaaa akija atakujibu lione hili li super gadem mburulazzz
Kumbe ndio kazi uliyokua unaifanya huko sasa ukadhani ni wote...
 
Ni Engineer wa Meli kama anavyodai mkuu!
 
Ndo nani huyo,wengne hatumfahamu?
 

Mind your business .Mbona ata na wewe mbea tu upo humu unataka kumjua le mutuz .Get a job
 
itabidi le mutuz atuwekee vyeti vyake hapa maana simuamini kabisa kama kweli ana degree 3
 
Degree za mafungu, kwa hisani ya watu wa marekani
 
Mwingine uchokozi sasa kama hayo ndo maisha yake. Wayawingiani?
 

Attachments

  • 1414773347284.jpg
    40.5 KB · Views: 796
  • 1414773380827.jpg
    42.5 KB · Views: 787
Last edited by a moderator:
Hapo alipo ndio ana degree 3 kama anavyosema,je angekuwa hana hata moja angekuwaje?inawezekana ana degree za kupewa na yaasisi za wazazi!
 
Le mutuzi ni usalama wa taifa.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Akina mfano wa Kardashians mnaoshinda mnaangaliabpicha na vipindi vyao wamefanya nini kujulikana hivyo.

Mwacheni wenzenu na bahati na nyota yake.

Mie sioni inawahusu nini kumponda na nyie mmefanyia nini jamii.

Mnapenda ku mfollow na mambo yake then unaleta mada kuuliza hii imekaa ki wivu.com

Kama ana degree hana atajiju, wewe inakuhuuuu nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…