sijakusoma na wala sina time ya kukusoma..haya kachukue posho kwa huyo mmeo
kuishi kwa shemeji lazima uwe unastrees sana..get a lifeashakuwa mme, mbona umewaza huko??
y??????
its not normal kwa mwanaume, kumwambia mwanaume mwenzako ana mme!!
you have corroborated my earlier speculations
Si vizuri kuwasema watu wa rika la wazazi wetu..
Le mutuz ni sawa na Baba yetu humu Jf, wengine wanatakiwa kumwita Babu humu...
Hata kama ni mburulaz lakini ni Mzee wetu, tumsitiri.
Tena siyo vizuri watu mnaposema eti shati lake linaweza kufunika Gari kama Vitz.
izurikuishi kwa shemeji lazima uwe unastrees sana..get a life
Hahahaaaaa akija atakujibu lione hili li super gadem mburulazzz
Kumbe ndio kazi uliyokua unaifanya huko sasa ukadhani ni wote...
le mutuz ni mtu poa sana,mimi huwa ananifurahisa anaposema anaishi karibu na ikulu,chezea le mutuz ana degree tatu,halafu anahang na kina Mwami Rajabu mabilionea wenzake.
Kwa mtu kama Le Mutuz anayefanya vitu vya kitoto bila kufikiri kwa Tanzania hii lazima awe juu Kwa sababu watu/Vijana wenye mshiko kidogo umualika kubwa jinga ili awapige picha na kuwaonyesha mtandaoni. Hata mademu wanamtumia Le Mutuz picha zao ili awatangaze nao wapate mabwana wa kuwatunza. Angekuwa Lundenga tungesema anawala ila yeye nahisi ni tende halwa!
Hahahaaaaa akija atakujibu lione hili li super gadem mburulazzz
Kumbe ndio kazi uliyokua unaifanya huko sasa ukadhani ni wote...
Hahahahaha unampatiaje huyu babu????? Yaani ni full burudani
Hahahahahaha lazima aseme uknw watu wasio na shule hawanisumbui uknw hao ni super gardem mazafanta hahahaha madebe matupu uknw.....i like it
You know le mutuz anapenda sana mazoezi hata kama sebulen kwa mama kilango yeye ana piga tu hana shida kabisa you know
Hahahaaaaa natamani aje kweli yaani...kwa nini ule uzi wa kinje ulifutwa?nilitoka kidogo kurudi sikuukuta tena
Umeitoa kwa sinta hiii post
Mind your business .Mbona ata na wewe mbea tu upo humu unataka kumjua le mutuz .Get a job
Msonyooooo wewe umeifanyia nini jamii???zaidi ya kukaa behind your computer na kumwaga sumu???get a life u idiot
You know le mutuz anapenda sana mazoezi hata kama sebulen kwa mama kilango yeye ana piga tu hana shida kabisa you know
Hapo alipo ndio ana degree 3 kama anavyosema,je angekuwa hana hata moja angekuwaje?inawezekana ana degree za kupewa na yaasisi za wazazi!