Kama ni kweli kuwa CHADEMA bila Mbowe haiwezi kwenda, basi chama bado kina safari ndefu sana

Kama ni kweli kuwa CHADEMA bila Mbowe haiwezi kwenda, basi chama bado kina safari ndefu sana

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Kuna baadhi ya wanachama wanafikiria kuwa bila Mzee Mbowe kuwa mwenyekiti eti chama kitakufa/ kupoteza mwelekeo hiyo ni dalili kuwa Chama cha chadema bado hakijakua wala hakijafanya maandal
 
Unasahau kuwa Tz bila Chama Tawala haiwezi kwenda. Safari ni safari tu iwe ndefu au fupi zote ni safari
 
Kama bado kuna watu wanadhani Tanganyika bila CCM haiwezekani....
IMG-20241219-WA0021.jpg
 
Basi hakikui tena kimedumaa, kifuatacho ni kufa tu
 
Back
Top Bottom