Z zandrano JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 7,893 Reaction score 8,816 Dec 19, 2024 #1 Kuna baadhi ya wanachama wanafikiria kuwa bila Mzee Mbowe kuwa mwenyekiti eti chama kitakufa/ kupoteza mwelekeo hiyo ni dalili kuwa Chama cha chadema bado hakijakua wala hakijafanya maandal
Kuna baadhi ya wanachama wanafikiria kuwa bila Mzee Mbowe kuwa mwenyekiti eti chama kitakufa/ kupoteza mwelekeo hiyo ni dalili kuwa Chama cha chadema bado hakijakua wala hakijafanya maandal
kingundya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2013 Posts 2,000 Reaction score 3,352 Dec 19, 2024 #2 Unasahau kuwa Tz bila Chama Tawala haiwezi kwenda. Safari ni safari tu iwe ndefu au fupi zote ni safari
Unasahau kuwa Tz bila Chama Tawala haiwezi kwenda. Safari ni safari tu iwe ndefu au fupi zote ni safari
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Dec 19, 2024 #3 Kama bado kuna watu wanadhani Tanganyika bila CCM haiwezekani....
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Dec 19, 2024 #4 Basi hakikui tena kimedumaa, kifuatacho ni kufa tu