Kama ni kweli Ma - DED zaidi ya 100 watapandishwa kizimbani na TAKUKURU kwa Ufisadi basi mfumo wa MagufulI kuteua Makada wa CCM Umefeli

Nadhan ulikuwa mtt
 
JPM alikuwa rais wa nchi na katika muda mfupi wa urais wake amefanya mengi sana,ni ngumu sana kutozungumzwa na pengine itachukua miaka zaidi ya 30 kabla ya kuacha kumzungumza.
 
Uko sahihi kbs, lkn Cha kusikitisha zaidi hata hao TISS waliojazwa kila sekta hawana msaada wwte kwa Taifa, nao wamekuwa wapigaji kuliko hata vibaka... kiukweli kbs hii idara imefeli kuliko, na kinachoifelisha ni undugunaizeshen , wanapointiwa watu ambao hawana uwezo kbs wa kujua mbivu na mbichi .. hv tunaweza kusema au kujivunia kuwa tuna idara ya usalama wa Taifa kweli??? Mhe Rais acha kuteua hao makada wenzio, tafuta watu wenye uwezo hata nje ya chama chako

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Lazima tujisahishe kwa kuangalia tulipoanguka. Ilikuwa kosa kuteua makada wa CCM kuwa wakurugenzi. Naona Hilo kosa kalirudia Rais Samiah. Tuteue professional s tu kwenye ukurugenzi na sio wanasiasa ambao wanaenda kulinda maslahi ya chama.
Nivigumu ila itawezekana kwasababu makada chimbuko lao ni vyuoni, Raisi ili aweze ni kubomoa mifumo yao kuanzia vyuoni kwakuwa ndiyo wanapopatia nguvu na kuhamini ukijiunga na UVCCM chuoni unakuwa na uwakika wa kupata ajira.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Siku zote waliokuwa wanateuliwa makada kuwa Ma DED; kusema kwa uhakika kabisa kuna wakati katika serikali kila mtu alikuwa mwana CCM; kama hujui hili basi wewe umemaliza la 12 mwaka jana ulichonacho ni kujua kutumia mitandao tu
 
Walikuwa wanatolewa Lumumba direct Kuwa maded?

Akili za Sukuma gang bhana!
 
Hili ni jambo baya sana.

Mtu anaiba na inafahamika kuwa kaiba lakini bado anaachwa kwenye public office.
 
Walikuwa wanatolewa Lumumba direct Kuwa maded?

Akili za Sukuma gang bhana!
Sawa kwa hiyo hoja isiwe ukada ila iwe ni kutolewa Lumumba- unataka uhuru wa kutoa mawazo ila hujui kujieleza na hiyo ni hatari sana
 
Kumbe Ma DED wa sasa hivi waliteuliwa na Magufuli!!????
 
Sawa kwa hiyo hoja isiwe ukada ila iwe ni kutolewa Lumumba- unataka uhuru wa kutoa mawazo ila hujui kujieleza na hiyo ni hatari sana
Ni mjinga tu asiyejua Wateule huwa ni wanaccm

Ila ni Ujinga zaidi kumchukua uvccm pale Lumumba na kumpa uDED badala ya uDC

Nyie ndio mnadhalilisha Sukuma Gang!
 
Ni mjinga tu asiyejua Wateule huwa ni wanaccm

Ila ni Ujinga zaidi kumchukua uvccm pale Lumumba na kumpa uDED badala ya uDC

Nyie ndio mnadhalilisha Sukuma Gang!
Tulipopata uhuru walichukuliwa watu kwenye africanization wakapewa nafasi na nchi ikaenda- leo hii kinachowasumbua ni wivu, roho mbaya, na akili mbovu
 
Tulipopata uhuru walichukuliwa watu kwenye africanization wakapewa nafasi na nchi ikaenda- leo hii kinachowasumbua ni wivu, roho mbaya, na akili mbovu
Nchi ilienda wapi wakati mzee Mwinyi alikufa Hazina iko tupu na Wananchi wanavaa Kaniki na Katambuga!

Halafu Shujaa Maguful akataka kuturudisha kulekule!
 
Nchi ilienda wapi wakati mzee Mwinyi alikufa Hazina iko tupu na Wananchi wanavaa Kaniki na Katambuga!

Halafu Shujaa Maguful akataka kuturudisha kulekule!
Huwezi elewa, hukuwepo, na hujifunzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…